Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

nimeweka hii makusudi nione wale wanaopiga kelele za Dr Slaa watasema nini? maana najua watu wanafiki humu kila mtu anajua hili ni suala binafsi ila wale ndg zetu huwa vimbelembele sana sasa kama yuko na Gorgina Mtenga na wamezaa watoto watatu bila ya ndoa je ni uhalali huo?
 
Sawa umeiweka makusudi kumsaidia Slaa hapo hapo tena umewasahau kina
POPE BENIDICT XVI
CARDINAL POLCARP PENGO
je hawa vipi sio binaadamu
 
nimeweka hii makusudi nione wale wanaopiga kelele za Dr Slaa watasema nini? maana najua watu wanafiki humu kila mtu anajua hili ni suala binafsi ila wale ndg zetu huwa vimbelembele sana sasa kama yuko na Gorgina Mtenga na wamezaa watoto watatu bila ya ndoa je ni uhalali huo?

kama ni watoto ni wake,we inakuhusu nini!na ujue hakuna mtoto asiye halali....
 
Labda ndio njia pekee ya kujisahaulisha taabu na matatizo tuliyonayo!!!

Badala ya kujadili matatizo tuliyonayo na njia za kujinasua kwenye tope tulilokwama, tunataka kujua wengine wanazini na kina nani!? yaani TUMEKALIA MAMBO YA UTESI TU! (Gossip!) Great thinkers!!!
 
WanaJF hivi huyu profesa Ibrahimu Lipumba ameoa? Kama ameoa,ameoa wake wangapi? Maana aliwai kuulizwa mwaka 2005 kuwa mke wake yupo wapi akadai wampe kwanza urais ndio watamjua First Lady...........
 
Lipumba si rijali na ndiyo maana Georgina (mke wa zamani wa Kweyamba aliamua kurudi kwa wazazi wake). Halafu uelewe kuwa kama mwanaume hayuko sawa huko down basi aweza kupata athari za kisaikolojia kama tunazoziona sasa kwa prof Lipumba
 
Kwa vile ameisema CDM ndio haya yanajitokeza au? Tuulize haya haya kwa dr slaa pia

Acha maisha ya kuhisi wewe...aliyekwambia nimeuliza haya kwajili ya kuisema CDM nani? Mbona watu wengine mna matatizo....
 
Hakyanani sijawahi sikia mtu akitamka jina la MKE, DEMU au KIMADA wa Prof. Lipumba. Mara kadhaa nimesikia Marital Status ya Dr.Slaa ikizungumzwa lakini ya huyu Mgombea Pekee wa CUF sijawahi kuiona ubaoni.

Kulikoni, mkewe ni al mareium (marehemu) au bado yupo yupo kwanza?

Lipumba.jpg
Hakiiiiii!
 
Lipumba ana mke ambaye anaitwa Geogina Kweyamba. Mke huyi alimpora jamaa mmoja mtoto wa mjini akiitwa Kweyamba, ila kuhusu watoto sijui kama wamejaaliwa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom