Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

Habarini ndugu zangu wana jamvi?wataalam mi nahitaji kujua kama profesor lipumba ana mke na watoto. Kwani sijawahi sikia kuhusu familia yake, wengine wananiambia hajawahi kuoa ka spendi maisha yake kwenye elimu. Je ni kweli? Kama ana mke na watoto nitashkuru kama ntafahamishwa. Sio umbea ila ni vizuri kumjua prominent figure kama yeye. Tokea 1995 anagombea urais na wala hachoki. Karibuni jamvini waungwana.

Hapana bwana ameoa kwa sasa,mimi ninavyojua alikua hajaoa kipindi kile anagombea urais for the first time 1995.Ila baadae kuelekea uchaguzi wa 2000 alishapata mke kwa ndoa ya mkeka kwa maana ya isiyo na vishindo,alimuoa dada mmoja mrembo jina nimelisahau akifanya kazi RED CROSS enzi hizo Mh.KINANA akiwa boss pale.Hivyo basi mh.kinana anamfahamu vilivyo mwana mama huyo,lakini kama alikuja kumuacha baadae hilo suala lingine bandugu.
 
Speaking of Botswana prezo he is still young and if am not mistaken he given the seat after the death of his father. The question is Lipumba ameoa hajaoa at his age

Sahihisho: Prez wa Botswana Ian Khama hakurith kiti kwa baba yake. Baba yake Dr. Seretse Khama alikufa mwaka 1980. Baada ya hapo kumekuwa na marais wawili kabla yake.
 
President of Botswana Says No Short, Fat Wife for Him
Botswana President Sounds Like Borat in Describing Future Wife

By DANA HUGHES
NAIROBI, Kenya Dec. 6, 2010
President Ian Khama, 57, has never been married, but at a political party meeting last month he said his top requirement for a future wife is that she needs to be tall, slim and beautiful – in a country known for short, heavy set women.
To drive the point home he pointed to the Assistant Minister of Local Government Botlhogile Tshreletso and said, "I don't want one like this one. She may fail to pass through the door, breaking furniture with her heavy weight and even break the vehicle's shock absorbers."
The crowd, including the minister who had been singled out, reportedly laughed at the president's comments.
Khama claims he's been too busy running the country to find a wife, and has dispatched presidential aides to find a suitable mate.
The president's status as a bachelor is of general national concern. Khama, elected in 2009, is not only president, he's also the chief of the Bamangwato people, Botswana's largest ethnic group. Marriage is a requirement of tribal tradition, something that Khama, so far, has defied.
Khama's standing as the president as well as a prominent chief has virtually ruled out scolding him for his attitude towards women, and no womens' groups in the country have publicly criticized him for his comments.
The chairwoman of the woman's wing of Khama's ruling party even proposed he marry current Miss Botswana, Emma Wareus, a runner-up in the Miss World pageant. Others said his comments were simply meant to be a joke.
But there is much discussion of whether Khama's remarks.
"The angle everyone cared about was that he was looking for wife," said a journalist who works for the national newspaper Botswana Gazette, who covers politics and asked to remain anonymous because of the sensitive nature of the president's personal life. "Some were saying it was a joke. Some were saying it wasn't a joke. He meant what he said."
But critics say joke or not, the president's comments were uncalled for and sexist.
"There were some critics that said he shouldn't have said the assistant minister was fat," the reporter said. "He should withdraw his statement because it's negative against women."
Khama has always been a bit of a rebel in following traditions. A certified pilot and former army commander, he flies Botswana's version of Airforce 1 on official trips. He's also known to be somewhat of a fitness fanatic. Even his birth was controversial. His father, Seretse Khama was deposed as the Bamangwato chief and exiled by the British in 1951 because he married Khama's mother, a white British woman.
 
Mzee Moi alioa ? baada ya kumuacha mama Ngina mwaka 1983 . Jibu ni kwamba hakuoa . Rais wa sasa wa Botswana ndio anatafuta mchumba. urais sio ufalme.


Dr Slaa hadi sasa hana mke anaye mchumba na mchumba hawezi kuitwa first Lady. Kama angechaguliwa kuwa Rais hadi sasa angekuwa hajaoa kwani bado ana mchumba na kesi iko mahakamani.

Katiba yetu iko kimya kuhusu ndoa na uongozi.....Hivi endapo itatokea kwa mtanzania mwenzetu Mungu kamuumba jogoo halipandi lakini ana sifa zote za uongozi itakuwaje? Katiba haijasema asiye na mke hatakuwa Rais. Lipumba kasoma katiba ya nchi na kaielewa vyema kuliko sisi sote na ndio maana hana wasiwasi na ndoa. Kwa mujibu wa katiba, Lipumba hajavunja katiba kipengere chochote.

Ni wanaume wangapi wana ndoa lakini ni ndoa mfu mbele ya mwenyezi Mungu? Usione mke na mume wanaongozana ukadhani zote ni ndoa nyingine wanandoa jina tu sawasawa na ambao hawajaoa. Wengine wametengana hadi vyumba vya kulala.
 
Habari za mtu kuoa au kutooa ni mawazo ya kijima kabisa. Mbona hata hapa jamvini wapo members wengi tu hawajaoa na wanaendelea kulijenga taifa kama kawaida?

Nilipigiwa sana kelele za kuoa nilipokuwa under 40, lakini sasa, hata hao wamekata tamaa na kuheshimu maamuzi yangu.
 
Habari za mtu kuoa au kutooa ni mawazo ya kijima kabisa. Mbona hata hapa jamvini wapo members wengi tu hawajaoa na wanaendelea kulijenga taifa kama kawaida?

Nilipigiwa sana kelele za kuoa nilipokuwa under 40, lakini sasa, hata hao wamekata tamaa na kuheshimu maamuzi yangu.

Subiri baada ya miaka kumi utaukumbuka huo ushauri!!!
 
kuoa si takwa la mwanadam bali ni agizo la mungu na yeyote anaelipinga lazima atakua na matatizo ya biologia au kisaikolojia. Kama we ni mzima na una zaidi ya miaka40 na hutaki kuoa unaumwa kisaikolojia na pia umezaliwa na ubinafsi na uchoyo. Na yeyote anaeipinga ndoa alaaniwe.
 
Wajameni naomba kuuliza naskia Prof. Lipumba hana mke wala mtoto! Hii inanishtua kidogo maana Muislam safi anapaswa kuwa na familia tena kwa hadhi yake yeye wake wanne, inakuwaje hana mtoto wala mke? Tatizo nini haswa? maana tunaona rijali Dr (wa Ukweli) amekonga na kusuuza moyo wa Mchumba wake vilivyo mpaka hapo walipofikia kuweka mambo hadharani! Kulikoni Prof. Lipumba aka Mlima Kilimanjaro kutokuwa na ka-ushahidi mtaani na umri ule? au ndo vileee? Heheheh urithi wa Uwenyekiti atamwachia nani maana kwa mambo yanavyoenda nathani kuna ka-usultani fulani CUF!
 
Wajameni naomba kuuliza naskia Prof. Lipumba hana mke wala mtoto! Hii inanishtua kidogo maana Muislam safi anapaswa kuwa na familia tena kwa hadhi yake yeye wake wanne, inakuwaje hana mtoto wala mke? Tatizo nini haswa? maana tunaona rijali Dr (wa Ukweli) amekonga na kusuuza moyo wa Mchumba wake vilivyo mpaka hapo walipofikia kuweka mambo hadharani! Kulikoni Prof. Lipumba aka Mlima Kilimanjaro kutokuwa na ka-ushahidi mtaani na umri ule? au ndo vileee? Heheheh urithi wa Uwenyekiti atamwachia nani maana kwa mambo yanavyoenda nathani kuna ka-usultani fulani CUF!


Haya ni mambo binafsi hayana tija kwenye vita dhidi ya ufisadi.

Unaambiwa haihuuu.
 
ila ya Dr (wa ukweli aka rijali) Slaa inawahusu sio? shame on you people with double standards....

Mambo ya kuwa single, engaged, married, separated, divorced sio tija kwa taifa.

Swala lenye tija kwa Taifa ni pale unapokuwa na hawara ambaye ni mke wa mtu, halafu mbaya zaidi unakaa naye kinyumba. Ni hilo tu.
 
Lipumba ana mke na watoto watatu, wote wa kike. Mkewe ni mkristo (maana unadhani Lipumba lazima atakuwa na mke muislamu).
 
Mambo ya kuwa single, engaged, married, separated, divorced sio tija kwa taifa.

Swala lenye tija kwa Taifa ni pale unapokuwa na hawara ambaye ni mke wa mtu, halafu mbaya zaidi unakaa naye kinyumba. Ni hilo tu.

r u really a great thinker??
 
Geza Ulole du staili yako ya kumpigia debe dada yako nimeikubali! unataka prof aseme hajaoa ili dada yako apate nafasi, au unataka upeleke mkeo (kama unaye) ili nawe ukikaribia uchaguzi 2015 useme umeibiwa, maana ndio zenu!
 
Kuzaa au kupata mtoto ni majaliwa ya mungu na sio ujanja wa mtu. Hata watoto wako unaojivunia kuwa nao anayejua ukweli wa baba yao ni mkeo tu. Wewe unaweza kuwa baba mlezi
 
Ni kweli mkewe ni Mristo,anaitwa Georgina Mtenga,nadhani hiki ndio kikwazo kwake cha kufunga Ndoa halali ya Kiislam.Tena mke wake anafanya kazi UNICEF ni binti wa kichaga mrefu hivi ,rafiki yake sana na mke wa Jenerali Ulimwengu ,Josephine Mareale yuko Kigali.
 
Lipumba anasema mwenyewe anae mke GOOGLE Prof Ibrahim Lipumba wikepidia utapata jibu..lakini mimi sidhani kama jambo la msingi, Roman Catholics Duniani wapo 1.166 BILION, wanaongozwa POPE BENEDICT XVI hana umri wa miaka 84 mke hana na wala haruhusiwi kuoa..Tanzania tunae CARDINAL POLCARP PENGO hana Mke umri wake 67 na haruhusiwi kuoa wala kuwa na mwanamke na wanaongoza IBADA
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom