Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

mtu anaweza kuishi fulfilled life bila kuoa,kwanza ndoa za siku hizi zimejaa stress tu....sio lazima kuoa!
Kama haupo kwenye ndoa utasema maneno yoote mabaya kuhusu ndoa, hizo stress n.k, huletwa na style ya maisha ya wanandoa wenyewe na yaweza kuwa ukosefu wa chaguo lililo bora.
 
sio lazima kuoa?!, kwa hiyo tuna ruhusu zinaa ktk zama hizi za ukimwi?unataka kuniambia kama hana mke ina maana hafanyi tendo la ndoa?kama anafanya then anazini ana muuzi mungu ndo maana hapati urais.

Kuoa au kutokuoa kwa Prof. si shauri la mtu yeyote.Kama alivyowafahamisheni Joka kUU hapo juu , Prof ana mke na ana watoto watatu na huyu mwanamama wa kuheshimika - msomi mwenye kufanya kazi taasisi ya kimataifa. Hii info itawasaidia muache speculations zaidi maana ni ya uhakika!
Pili, ina maana walio kwenye ndoa hawazini? Tena muache kabisa kuweka hii sababu ya kinafiki labda muweke sababu nyingine kwanini watu huoa/kuolewa sio kuavha uzinifu!
 
Watoto wa Georgina ni wa mme wake wa kwanza hajazaa na profesor. Msitetee bila ushahidi.

Hata hayo mahusiano yao ni ya mashaka mashaka. Kwani huyo bi mkubwa mara nyingi yupo kivyake.

Jamani kama prof personal like yake inautata ndio ataweza ku compete kwenye uchaguzi. Imagine how many times kagombea then dr(waukweli) slaa kaingia tu na kumuacha mbali sana kwenye kura.

Huyu prof na ma-uchumi yake si angeenda fundisha chuo kikuu na kuacha kuota ndoto za alinacha? Hebu ona pesa yetu inavyoshuka thamani yeye kama mchumi anashindwa kuanzisha taasisi mbalimbali za kiuchumi? Anachojua ni kuchonga domo lake refu na kuongea ongea. Amtazame Dr slaa alivyo na uchungu na ugumu wa maisha haya. Ndo maana hata georgina anaona noma kutoka nae in public.
 
kwani mke ndo sifa ya urais kwani wapi imeandikwa ktk katiba nifahamisheni kwani mke atamsaidia nini kwenye kufanya maamuzi magumu ya nchi au mke si tulisikia hatutaki rais aneshauriwa na mke usiku jioni anstoa maamuzi kwa hiyo tunachagua rais na mke wake au mi naona atapunguza misafara ya first ladi make wanatuumiza mara wama foundation mara mm.................foundation hadi sasa hatuoni pesa ya ukimwi iliyo ingia hapo sasa heri tuwe na rais asiyeoa make hata alieoa uzinzi na kuvunja ndoa za watu ndio balaa
 
Hayo ni maisha yake.. Hayatuhusu...

Tuangalie maisha na maendeleo yetu watanzania.

Na issue ya katiba...
 
Mzee Moi alioa ? baada ya kumuacha mama Ngina mwaka 1983 . Jibu ni kwamba hakuoa . Rais wa sasa wa Botswana ndio anatafuta mchumba. urais sio ufalme.


Mzee huna facts kabisa.Check details kabla hujapost chochote.
Mama Ngina alikuwa wa Kenyatta!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
hivi professor Lipumba kabla hajaingia katika siasa miaka ya 1990, alishawahi kufanya kazi gani hapa nchini?ningependa pia kupata maoni kutoka kwa watu ambao walishawahi fanya nae kazi au ishi katika mazingira fulani. nnaendelea kumpima katika viawango ili nijue kati ya proffesor na Dr nani waukweli zaidi theni nijitolee kumpigania kwa nguvi zangu zote.

haya mnaomjua lipumba wekeni mambo hadharani, karibuni sana.
 
Mzee huna facts kabisa.Check details kabla hujapost chochote.
Mama Ngina alikuwa wa Kenyatta!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1

Tunajifunza kutokana na makosa .lakini ujumbe umeeleweka. HELENA DANIEL MOI.
 
hivi profesor lipumba alishafanya nini nchini tanzania cha kujivunia? na kabla hajaingia cuf alikua na issue gani? please nisaidiane jamani.
 
Mwanaume asiyeoa ana matitizo either ya physical or psychological.... he is not fit for President, nadhani kuna sheria lazima mtu awe ameoa ndiyo agombee urais, ila sina hakika, you got first to be head of the house b4 being head of the state.... (I'm not sure about it)
 
nakuunga mkono nyodo, huyu lipumba hafai kabisa na pia na mashaka na urijali wake. Rais wetu ni Dr willbrod Slaa au vipi wakubwa?
 
Mambo ya kuoa yamepitwa na wakati. Ukitaka ufe mapema wee uoa! Utaishia mastress kibao, na pengine ukajiona unapata maukimwi without your involvement. Kama hajaona namsifu sana. To marry is to die. I hate marriages, ma-stress kibao, mademu wa siku hizi hawashikiki! wapo kimaslahi tuu! Ukifilisika ndo mwisho wa ndoa yako! what kind of marriage is this? Ukitaka kuenjoy life to the full be single. Yote juu ya maisha yako unaamua wewe mwenyewe. A nice car, a nice house, a nice job,ect

Nimubaliana na wewe 100%
 
Bruce Lee,

..naona lile genge lililokuwa likimshambulia Dr.Slaa liko kimya kabisa ktk kujadili utata wa ndoa ya Prof.Lipumba.

..kwa kifupi ni kwamba Georgina, "mke" wa Prof.Lipumba, alikuwa ktk ndoa ya jamaa mwingine kabla Prof.Lipumba hajatokea.

..1995 huyo jamaa alikuwa anamletea vurugu ktk vyombo vya habari kwa mtindo uleule aliokuwa akiutumia Mahimbo wakati wa kampeni.

..lakini haya masuala ya ndoa wengi hawako safi, na watu wakiamua kuyafuatilia kuna uwezekano hakuna atakayesalimika.

..nawahakikishia kwamba hili suala la Prof.Lipumba CCM wameliweka kiporo. siku Prof atakapokuwa tishio na kikwazo kwa CCM litakuja kuibuka upya.

NB:

..kwa upande wangu, I do not consider Prof to be a bad person. naamini tatizo lake ni kwamba ali-concentrate mno kwenye academics akasahau masuala kama haya ya kuoa. watu wengi sana kwenye academics and research wako single, nimekutana nao wengi sana.

..ushauri wangu kwa vijana ni kwamba mhakikishe mnaweka mambo yenu sawa na kufunga ndoa kabla ya miaka 32. ukizidisha hapo kuna uwezekano utaingilia ndoa za watu, au utaoa mwanamke aliyetalikiwa.
 
Nacheka sana, naona hoja zinapandiana tu, very interesting.naomba na mimi niseme.

Nimeona message ya bruce lii ndo nikajua nguvu iliyonyuma ya hoja yake,"CUF vs CHADEMA"/"DR vs Prof"
ni hoja na inajadirika, ila inatatiza sababu heading sio issue tena. Ila sababu naona watu bado wanajadiri heading, na mimi ntaijadiri.
Kwanza wewe unaesema kuoa ni kujitakia kifo, na wewe uliyemuunga mkono, nyie ni watu selfish sana, na tatizo hili ni zao la tatizo kubwa ambalo nalo hujitokeza mara nyingi sana tu kama mada kuu humu janvini na kwenye platforms nyingine, "education system",huwezi kuibuka kama zuzu unasema kuoa ni kujitakia kufa, it is questing members screening ya jf, wewe umewezaje kupata opportunity ya kupasa sauti na ikasikika kiasi hiki kwenye jamii. au wewe mama yako alibakwa ndo akapata mimba ya kukuzaa wewe,lo! na labda ndio maana mind set yako iko namna hiyo.

Wewe ni mtu mmoja muoga sana wa maisha, unapata confort kwenye kujikusanyia mavitu meeengi, magari, we mwenyewe kama zuzu vile unasema nice car, nice house, ha ha ha ha ha.... coward?

Kama umeandika out of frustration sema wazi, sio unaibuka tu ala!

Sasa hoja ya msingi ni kwamba swala la profesa lipumba kuoa ni ISSUE, ni issue sababu ameonyesha nia
ya kutaka kuwa kiongozi wa taifa letu, na kwa sababu mwaka 2015 atajitokeza tena kama kawaida, marital status yake inatuhusu, mimi nilirudishe hili swala kwa wanachama wa CUF waangalie hili swala kwa hekima sana, haya mambo ya kukaa kimya kwenye issue kama hii sio stahiki, kwa kurhani inasemaje, sababu wote tunajua CUF is an ISLAMIC PARTY, hata kama watabisha,basi niseme kwamba wanachama wengi wa CUF ni waislamu sasa je? imani yao inawaruhusu kuongozwa na mtu ambaye maisha yake ya msingi kabisa hayaeleweki.

Naomba wawe serious, wakiendeleza ukimya wanatoa nafasi kwa kila mtu kusema lake, wajitie nguvu wasimame na kulifanyia hili swala maamuzi ama kutoa ufafanuzi, Lipumba Mbona mtoto wa kiume tatizo lake nini .....
 
Taifa kwanza. quran ina sema hivi enyi milioamni mmefaradhishiwa kuoa,kuanzia wanawake wawili, kama una uwezo ongezo wa tatu na wanne na kama we ni dhaifu basi oa mmoja. na mtume muhamad anafundisha katika hadithi yake moja annikah sunnat wa man raighba sunnat laisa minni( ndoa ni suna yangu na yeyote atakaeipinga ndoa hii hayupo na mimi).

sasa wana cuf kama huyo lipumba ni muslam mwenzenu je alimuoa vipi Regina? na kwanini kuna sirisiri hapa kuhusu maisha yake binafsi. kama ana ujasiri aje humu jamvini ajibu hoja zetu kama anavyofanya dr slaa. mwanamme kamili hua haogopi kujadilia au kukosolewa bali hujitetea kwa nguvu za hoja.
 
Mbona hili swala liko wazi namna hii kumbe, thanks Brucee kwa update, sasa sina haja ya kuwaachia CUF tena, HUYU JAMAA HAFAI KUSIMAMA MBELE YETU NI KUONGEA KITU CHOCHOTE KUHUSU UONGOZI WA CHINI YETU.

Natambua weridi wake kwenye maswala ya uchumi, tutamtumia huko ambako hatakuwa public figure, ndani kabisa uko ofisini akae na laptop, tutamfungia na internet afanye economic analysis yatosha.

Ikiwekezekana hii hoja ifungwe jamani.

Bye
 
Huyu jamaa even if he is gay he should just come out of closet and face it... We all know wenzetu ndiyo maantie wengi. We won't be much surprise, I heard somewhere the phillipines president is open gay.. If he comes out perhaps people will vote for him in 2015
 
Mwambie am single/available!!!!:teeth::embarrassed:.......ukishakuwa public figure na hujaoa mambo yanakuwa complicated kidogo-mtu unayemtafuta kufit profile lako inakuwa kazi na wengi inabaki kuwa utata kakupenda wewe kama wewe au kakupenda sababu ni mtu mzito....mungu amuongoze ktk kukabiliana na huo utata!

Upublic figure upi!!! Wa kugombea urais mara nne na kuukosa!!!???
 
that z it! Awe muazi tu na pia ajibu hoja zinazo husu marital status yake kabla hatuja mpa madaraka makubwa. Asiogope mbona mwenzake Sir elton john alijitangaza na kuolewa na chaguo la moyo wake na bado watu wanamuheshim na kumthamini. Prof kwanini na wewe usiweke wazi,??
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom