Prof. Ibrahim Lipumba na Maalim Seif wana wake, watoto (familia)?

point of education. Mama ngina ni mama yake uhuru,na alikua mke wa mzee jomo kenyata na sio MOI. Well je ana mke? Na kama hana kwanini haoi?
 
matola dont be stupid and useless. Imagine kama angeshinda urais, ingekuaje bila first lady huoni kama ni kituko?bluu balaa na miss judith asanteni kwa busara zenu. Maisha yake yana tuhusu ni na lazima tuyajue. Je jogoo lake halipandi mlima? Wekeni mambo hadharani waungwana. Wengine kama imewachoma potezeeni sio lazima m coment.
mhhh!!! huko sasa umefika mbali, ila ukitaka kuthibitisha nenda kajaribu halafu uje umwage majibu hapa kama ulivyosema hapo kwenye red
 
point of education. Mama ngina ni mama yake uhuru,na alikua mke wa mzee jomo kenyata na sio MOI. Well je ana mke? Na kama hana kwanini haoi?

mtu anaweza kuishi fulfilled life bila kuoa,kwanza ndoa za siku hizi zimejaa stress tu....sio lazima kuoa!
 
Bruce Lee,

..mwaka 1995 Prof.Lipumba alikuwa anaandamwa na CCM kwa kuvunja ndoa ya mama mmoja wa Kichaga anaitwa Georgina.

..CCM walikwenda mbali zaidi na ku-question Uislamu wa Prof.Lipumba kwasababu ya kuwa involved na mwanamke Mkristo.

..baada ya uchaguzi ule na mpaka leo sijasikia tena kama alikuja kumuoa huyo mama au waliachana.

NB:

..hata Pius Msekwa naye alipoonyesha nia ya kugombea Uraisi naye alitumbukizwa ktk kashfa kwa kulazimika kuthibitisha kwamba ndoa yake na Anna Abdalah ni halali.

Mkuu ni kweli Lipumba ana mke wa kichaga anaitwa Georgina na wana watoto, huyu dada anafanya kazi Shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi- ni dada mstaarabu asiyependa kujionyesha mbele ya vyombo vya habari, ndio maana habari zake hazifahamiki vizuri
 
sio lazima kuoa?!, kwa hiyo tuna ruhusu zinaa ktk zama hizi za ukimwi?unataka kuniambia kama hana mke ina maana hafanyi tendo la ndoa?kama anafanya then anazini ana muuzi mungu ndo maana hapati urais.
 
Inasemekana anatafuta mke wa pili kama wewe ni mwanamke jitokeze kumbuka Lipumba anaruhusiwa hadi wake wannne...
 
Mambo ya kuoa yamepitwa na wakati. Ukitaka ufe mapema wee uoa! Utaishia mastress kibao, na pengine ukajiona unapata maukimwi without your involvement. Kama hajaona namsifu sana. To marry is to die. I hate marriages, ma-stress kibao, mademu wa siku hizi hawashikiki! wapo kimaslahi tuu! Ukifilisika ndo mwisho wa ndoa yako! what kind of marriage is this? Ukitaka kuenjoy life to the full be single. Yote juu ya maisha yako unaamua wewe mwenyewe. A nice car, a nice house, a nice job,ect
 
Hata Rais wa Botswana anafuta mke sasa, na Evo Morales wa Bolivia aliposhinda urais ndo alioa!.
 
mtu mzima kunta kinte thanx. One more thing., ibrahim haruna lipumba(mme) muislam geogina(mke)mkristo. Inakuaje ndoa hiyo?mskitini,kanisani au bomani? Au prof alisilim kumfuata geogina? Tafadhali wakubwa msipandishe munkari nataka kumjua kiongozi huyu hodari wa cuf.
 
Bora haja pora mke wa mtu...
 
1995, ccm si walisema huyo georgina alikua mke wa mtu? Prof akamtorosha?mi nachojua alikua ni girl friend wake.na kama kamuoa basi prof kaisha silimu, mchaga hawezi silim kua mwislam kwajili ya ndoa. Polen waislam profesa sio mwenzenu tena kamfuata georgina ktk imani yake.
 
Kuna mijamaa ina akili za kinguruwe nguruwe, kama mtu kauliza jambo inamaana anataka kufahamu, kama hujui kaa kimya yanini kumpa majibu ya kukera?
Unafki mbaya sana!
 
point of education. Mama ngina ni mama yake uhuru,na alikua mke wa mzee jomo kenyata na sio MOI. Well je ana mke? Na kama hana kwanini haoi?
Ilo swali hapo juu anayewez* kujibu ni Lipumba pekee yake.
 
Lipumba ana mke jina lake Regina au Georgina, ila sina uhakika kama wanaishi pamoja hivi sasa ila mkewe hapendi kabisa jamaa anavyojihusisha na siasa.
 
Mambo ya kuoa yamepitwa na wakati. Ukitaka ufe mapema wee uoa! Utaishia mastress kibao, na pengine ukajiona unapata maukimwi without your involvement. Kama hajaona namsifu sana. To marry is to die. I hate marriages, ma-stress kibao, mademu wa siku hizi hawashikiki! wapo kimaslahi tuu! Ukifilisika ndo mwisho wa ndoa yako! what kind of marriage is this? Ukitaka kuenjoy life to the full be single. Yote juu ya maisha yako unaamua wewe mwenyewe. A nice car, a nice house, a nice job,ect

Hapana bwana wengine tupo katika ndoa ni mwaka wa kumi na ni raha mstarehe, a nice car, a nice house and money wala havinogi ukiwa pekee yako labda utuambie kama unaendekeza zinaa kwa kubeba wanawake tofauti.
 
o k,wandugu nashkuru kwa kunijuza vya kutosha nadhani hakuna mwenye jibu sahihi kuhusu ndoa ya lipumba na gina ilifungwa lini na kwa misingi ya dini ipi? Fine nashauri ni vyema sana kujua profiles za viongozi wetu hasa upande wa ethics ili tuweze kupima utendaji wao. Asantane sana.
 
Rais wa Botswana, Ian Khama(57), hana mke na hakuwahi kuwa na mke wala kuwa na mtoto, ingawa kwa sasa ameamua kuanza mchakato wa kumtafuta mwenza wake. Kwani first lady ana umuhimu gani katika ustawi wa nchi maana mimi sijui, lakini huyu kapera mashuhuri kabisa nchini Botswana anafanya kazi zake vizuri tu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom