Prof. Haroub Othman Afariki Dunia

Makelele

Member
Sep 23, 2007
28
4
Mungu amlaze pema. Ina Lilah Waina Ilayhi Raj'un.

9fd1321df3d14e5d9e0dd127a4aaeae1_zan2.jpg


Source: MICHUZI Blog
 
Last edited by a moderator:
WHAT??? Hakika wote ni wa mwenyezi mungu na kwake tutarejea!

Poleni wafiwa mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu, pole kwa Tanzania kumpoteza msomi shupavu!

Mhhhhh
 
Ohhhh.. GOD! RIP prof,
We will always miss you! HUkuwa ukitafuna maneno, you were straight to the point!
 
Huu ni moja ya mihimili mikubwa ya uchambuzi wa demokrasia haswa katika siasa za Zanzibar.
Pumzika Pema Peponi Mwalimu.
Your Legacy lives on.
 
Haah! It's impossible & it can't be! No! No! No!

Pole mkuu, tupoe watanzania wote, Ni ngumu kuamini,ila ndio hivyo kwa mungu hakuna lisilowezekana, tumche na kumuomba siku zote, hatujui saa wala siku mauti yatakapotufika, wapo tuliokuwa naye usiku!! inauma, inasikitisha, ukweli nami inaniwia vigumu kuamini
 
RIP Mwalimu! Tanzania tumepoteza tena hazina kubwa kabisa ya elimu!
 
My uncle,my hero, my guardian, my role model, my Prof..

The family is at lost,
Tanzania is at lost,
ZANZIBAR is at lost,
Africa is at lost,
Palestine is at lost,
The left is at lost,
U should not leave us now prof othman...

Not now when we need ur wisdom,
Not now when we need your patience,
Not now when we need ideals,
Not now when we need ur values,
Not now when we need ur integrity,
Not now when u need u most...

Yes u have done ur share,
Yes u have given us the most,
Yes u have stand for us during the worst,
Yes u have taught the greatest
Yes u have inspired the best,
But u shouldn't leave us the earliest.....

Ur the best,
Ur the greatest,
Ur the LEFT,
Ur the THA PANAFRICANIST,
Ur the teacher, ur the wisdom, ur the hope, ur the role model, ur THA comrade, ur the friend in the struggle...

Omarilyas
 
Inna lillah wainna illiahi rajiiun.
Poleni wafiwa wote hasa katika kipindi hiki kigumu kwenu.
Ni kazi ya mungu ila kienyeji tunasema wiki hii ya watu mashuhuri kaanza Nasma, kafuatia MJ, jana Gorogosi leo Le Prof. NOMA
 
Radio One wametoa breaking news. Mazishi kesho, Kilimani Zanzibar.
Jana alihudhuria uzinduzi wa kitabu, usiku alihudhuria Tamasha la Majahazi.
Kwa mujibu wa mdogo wa marehemu, Ali Miraji Othman, familia imekubali ni kifo cha kawaida, hivyo haifanyi uchunguzi wowote,
Pale UD, alinifundisha DS, he was really good in his game.
RIP Prof. Haroub Othman.
 
Radio One wametoa breaking news. Mazishi kesho, Kilimani Zanzibar.
Jana alihudhuria uzinduzi wa kitabu, usiku alihudhuria Tamasha la Majahazi.
Kwa mujibu wa mdogo wa marehemu, Ali Miraji Othman, familia imekubali ni kifo cha kawaida, hivyo haifanyi uchunguzi wowote,
Pale UD, alinifundisha DS, he was really good in his game.
RIP Prof. Haroub Othman.

Ina maana ni kifo cha gafla sana?
 
Nimeskitika sana...Umekufa kipindi ambacho sauti zenu wewe,Prof Shivji na wanazuoni wengine wachache wazalendo tulikuwa tunazitegemea sana... RIP Prof Haroub Othman. Poleni wote mnaoguswa na msiba huu wa ghafla.
 
Back
Top Bottom