Tufundishe kwa vitendo weka rate ya Euro kununua CRDB kisha weka Euro kuuza Ebsa tuona faida inavyopatikaUnayo biashara ya Forex au unasikia Tu !!..Forex trading hii ni scam!!.. Hasara ni kubwa kuliko Faida!!..Hebu Chukua hebu Nunua Euro Crdb sasa hivi alafu uuze Absa uone kama utapata Hasara kama hii yenu !!..
Labda alimpa uprofesa
Faida yake ni ndogo lakini ya uhakika!!!..Tufundishe kwa vitendo weka rate ya Euro kununua CRDB kisha weka Euro kunua Ebsa tuona faida inavyopatika
Kwa waliosoma uchumi ngazi za juu nadhani wanamjua lipumba!!!..Wataalamu kuwa wengi sio tija wanaisaidia nini akina Lipumba mbona uchumi uko hoi?
Zita take over kwahiyo unaona wote hatuna akili
Ukiachana na lugola unadhani hakuna watu wakubwa Wana interest na hii biashara na kama ni salama na ina faida kubwa kwanini na Nguvu zao wameshindwa kushawishi!!..Jeff ana danganya sanaAll Paper Money eventually returns to its intrinsic value; Zero ..., ila U-Scam wa Banks haufanyi Pesa zao kutokuendelea kuwa Legal Tender (its backed by the Powerful) wala haimaanishi kwamba Bitcoin ndio yenyewe (Liquidity yake itaendelea kuwa kikwazo)
All in all ingawa tutaondoka kwenye currency as we know it na kuhamia kwenye digital currency backed by Block Chain..., lakini hio itakuwa centralized na sio uncentralized kama bitcoin..., that's my humble opinion; na kila mtu afanye investment huko kwa utashi wake na sio jukumu la BOT kuhamasisha watu kwenye kitu ambacho huenda wakaungua hapo kesho (it needs to be proven beyond reasonable doubts)...
Kwa waliosoma uchumi ngazi za juu nadhani wanamjua lipumba!!!..
Hakua na uhakika ndio maana wamechunguza na kufanya tafiti wakaona sio salama (scam)Sio hamna akili but you are retarded!! Rais ana moano kuliko nyinyi hapo BOTna ndio maana akawaagiza kuangalia fesibility ya kutumia digital currency!! Huyo profesa wa jalalani wa Jiwe hapo BOT badala ya kumshauri Samia yeye ndio anapewa muongozo na Samia!!! What a mess.
Sijabisha nataka nione faida inavyopatikana Hata kama ni kidogoFaida yake ni ndogo lakini ya uhakika!!!..
Ndio maana nimesema waliosoma na wanaosoma uchumi ngazi za juu wanamjua lakini sisi tutakua wanafiki tuAmekuwa mwasiasa zaidi kuliko kuwa mchumi!!!
1000 kuuza 1035 ukitoa Kodi na kadhalika unaweza kupata 1025 still ni Faida hakuna network error wala kuumwa cancer hata partners kutapeli achana na broker hapoSijabisha nataka nione faida inavyopatikana Hata kama ni kidogo
Kweli hawa jamaa ni wajima sana ndio Maana walifungia PayPal tusifanye biashara Dunia kisha wanajiita wachumiSio hamna akili but you are retarded!! Rais ana moano kuliko nyinyi hapo BOTna ndio maana akawaagiza kuangalia fesibility ya kutumia digital currency!! Huyo profesa wa jalalani wa Jiwe hapo BOT badala ya kumshauri Samia yeye ndio anapewa muongozo na Samia!!! What a mess.
Hakua na uhakika ndio maana wamechunguza na kufanya tafiti wakaona sio salama (scam)
1000 kuuza 1035 ukitoa Kodi na kadhalika unaweza kupata 1025 still ni Faida hakuna network error wala kuumwa cancer hata partners kutapeli achana na broker hapo
Ingia kwenye website za bank zote mbili creenshot rates zote kuuza na kununua unifundishe kwafaida ya Watu wengine nitakushukuru sana mkuu1000 kuuza 1035 ukitoa Kodi na kadhalika unaweza kupata 1025 still ni Faida hakuna network error wala kuumwa cancer hata partners kutapeli achana na broker hapo
Rafiki kuna vitu mnajaribu kubisha lakini hakuna namna itasaidia!!!..Hawa brokers ndio wameharibu biashara yenu kabisa!!..Hakuna ukweli kwenye biashara yenu,Faida zipo kwenye Demo lakini uhalisia ni hasaraUnadhani Kweli ingekuwa sio salama benki kuu ya Nigeria ingewezaje kuanzisha digital currency yake? Our people have no confidence in their economic decisions!! Nakumbuka enzi za yule BOT Gavana aliyefariki recently [ Benno Ndullu] alimkatalia kabisa Jiwe kutoza kodi miamala ya simu kwani hizo tozo zilikuwa zinawatoa masikini nje ya mzunguko wa fedha[ FINACIAL INCLUSION] na hivyo kudumaza ukuaji wa uchumi!!! He stood by his conviction and JIWE had no option but to relent!! Sasa hawa wa leo hawana confidence hiyo because they are ignorant na ndio maana mambo yamekuwa magumu kwa wananchi inspite of cooked up data!!!
Anabisha na Raisi kwasabu mwanamke katiba tulionayo Raisi akisema Jambo ni sheri BOT tii Sheri acha propagandaGavana wa benki kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga amesema wanachojua mpaka sasa ni kuwa sarafu za kidijitali sio salama. Aidha amesema kwamba hawawezi kusema ni lini watatoa maelekezo kwani bado wanafanya utafiti.
Watatoa kanuni na miongozo wakishamaliza endapo watakamilisha utafiti wao.
======
"As far as we know Crypto-currencies are not safe. We cannot give timelines when to issue regulations, we are still researching – we will give regulations when we have finished our research" - Prof. Florens Luoga, Governor, Bank of Tanzania.
SOURCE: Bank of Tanzania
Uliniuliza swali kuhusu rais wa TZ kumiliki TZS
Halafu unauliza tena swali lingine na mada nyingine
Na kwa msingi wa swali hili inaonyesha hiyo El Salvador yenyewe hufaitilii kiundani.
Pamoja na BTC kugeuzwa legal tender, el salvador kwa sasa wanaspeculate vile vile, Serikali ya El Salvador wana account ya bitcoin wanaiita Bitcoin Trust Account (FIDEBITCOIN) ambayo mpaka sasa ina bitcoin 1,120. Ambapo serikali ilisema mwezi wa 11 ilitengeneza faida hivyo faida waliyopata baada ya uwekezaji kwenye speculation kupitia FIDEBITCOIN account itapelekwa kutengeneza shule 20.
Sasa wewe unasemaje kuwa hawaspeculate.
Currency Speculations ipigwe marufuku na hatua kali zichukuliwe kama wafanyavyo wachina.We jamaa bwana sijui shida yako nini?
Faida ya bitcoin inapatakinaje?Kwa unaelewa maana ya hiyo account yenye bitcoin 1000+ (baada ya kuongeza bitcoin nyingine juzi)?
Bukele alijinasibu kutumia bitcoins kupunguza mdororo wa uchumi.Na unajua dhumuni lake ni nini?
Foreign currency(na sio cryptocurrency) inahitajika TZ kwa sababu ya kufinance miradi na pia ku-import na ku-export goods (real economy)Je nikisema kwa sababu Tz ina mfuko/account ya kuhifadhia fedha pale BoT in TZS au USD utasema ina speculate?
Je hiyo account ambayo El savador wanahifadhia bitcoin zao inatofauti gani na account ambayo BoT inahifadhia fedha za taifa (shilingi za kigeni na TZS)?
Currency Speculations ipigwe marufuku na hatua kali zichukuliwe kama wafanyavyo wachina.
Faida ya bitcoin inapatakinaje?
Bukele alijinasibu kutumia bitcoins kupunguza mdororo wa uchumi.
Foreign currency(na sio cryptocurrency) inahitajika TZ kwa sababu ya kufinance miradi na pia ku-import na ku-export goods (real economy)
Nikuulize, swali kwa nini hiyo el salvador hawakutumia forex reserve yao yote ya dola(bil 2 kufikia april) kununua bitcoin? isipokuwa ni kasehemu kadogo ya reserve.