Prof. Florens Luoga: Crypto-currencies are not safe as far as we know

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
242
431
Gavana wa benki kuu ya Tanzania Prof. Florens Luoga amesema wanachojua mpaka sasa ni kuwa sarafu za kidijitali sio salama. Aidha amesema kwamba hawawezi kusema ni lini watatoa maelekezo kwani bado wanafanya utafiti.

Watatoa kanuni na miongozo wakishamaliza endapo watakamilisha utafiti wao.

======

260086535_3143092589268045_2380388688655957539_n.jpg

"As far as we know Crypto-currencies are not safe. We cannot give timelines when to issue regulations, we are still researching – we will give regulations when we have finished our research" - Prof. Florens Luoga, Governor, Bank of Tanzania.

SOURCE: Bank of Tanzania
 
Kwani China wamepigaje marufuku, unadhani BOT hawana taarifa ya transactions ya hela mnazonunua hizo coins?
Marufuku ya China ni umiliki wa institutions lakini private investors wanapita nazo as normal. Pia, China Wana coin Yao wanayotaka nayo iende mainstream in case Crypto ikiwa full adopted. Kwenye Business Insider ya March 2021 ilielezwa humo.
 
Lielewe hili, China imepiga marufuku shughuli zote zinazohisiana na cryptocurrency.
Hiki kibano kipya kilipitishwa rasmi mwezi WA Tisa, Cryptocurrency ni haramu China.

Kampuni kama huobi haipokei tena wateja toka China bara(Mainland China).

Ufanyaji kazi WA digital yuan ni tofauti na coin zingine IPO Chini ya state control na sio decentralisation.
 
Mkuu unatakiwa uzinduke, duniani sio china tu!
Screenshot_20211121-172606_Instagram.jpg
 
Ndio duniani sio China, huwezi kukuta nchi inayojielewa iache kuwekeza kwenye real economy na kuweka ela kwenye hizi coin kama huyo Rais WA el Salvador anavyoielekeza nchi yake shimoni.
Jiandae kisaikolojia mkuu. Tutaruka ruka lakini mwisho wa siku tutaishia kwenye bitcoin.
 
Back
Top Bottom