Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 988
Kuna siku Professa Shivji alipotunukiwa tuzo moja kutokana na kuanzisha utafiti fulani aliponda sana dhana ya wasomi kutojikita na research badala yake wanakimbilia bungeni. Alisema hivi: {..Profesa unatafuta nini Bungeni, Bungeni kuna wawakilishi..}