Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,443
- 4,386
Prof.Mwesiga Baregu anasema dhana ya utumbuaji majipu ya Rais Magufuli ni njia ya kienyeji mno katika kupambana na ufisadi uliolelewa na CCM kwa miaka mingi.Anasema hiyo ni style isiyofuata utaratibu wala sheria na kuna hatari na kila dalili kwamba watu wengi sana wataonewa.
Anasema tayari tangu Rais Magufuli aingie maradarakani kwa nguvu ya TISS,haki za watumishi wa umma zinakanyagwa kwa sababu ya tishio la utumbuaji.
"Kwa sasa kila mtu aliye juu ya mwenzake anatishia kumtumbua aliye chini,dhana hii inabariki uonevu kwa watendaji wa chini na bahati mbaya watumishi wengi wanatumbuliwa bila kufuata sheria za utumishi wa Umma"
Prof.Baregu
Gazeti la Mtanzania Jumapili leo tar.24/4/2016