Somoche
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 6,146
- 7,002
Kwa hiyo mkuu mliongea akakuambia anasubiri uber??This man is a genious aise, halafu ana maisha simple sana kuna kipindi nilipishana nae pale millenium tower akisubiri usafiri wa Uber.
Kwa hiyo mkuu mliongea akakuambia anasubiri uber??This man is a genious aise, halafu ana maisha simple sana kuna kipindi nilipishana nae pale millenium tower akisubiri usafiri wa Uber.
kisha, uhasama wao ukachochewa na yule mkulungwa pale bungeni.Ugomvi ulianza pale alipofichua Jiwe katafuna trilioni 1.5
inaeleza nini mkuu?Hujui hata katiba inaeleza nini mtu akishashika nafasi ya CAG.
Mkuu yaani huo Moto wa Jehanamu utamwachia? Tayari ni member wa Lucifer hawezi kuwa Malaika hata kwa ndumba.Kabla hajaondoka alidai atakuja gombea umalaika mkuu, labda yuko huko.
Siku zote ukweli una uma. Hajadai urais bali ametoa hoja yake ya kuondolewa nafasi ya kazi ajili ya kufata taratibu za kazi na sio maagizo ya mtu. Jibu kwa hoja.Profesa uchwara aliyejifanya mhimili wakati mihimili iko 3 tu.
Ajaribu kugombea urais basi labda timu gaidi watamsajili 2025.
kisha, uhasama wao ukachochewa na yule mkulungwa pale bungeni.
Sasa na wewe uache kuni bebisha kwangu....wewe ni nani mpaka unipangie cha kuandika? Umezungusha mikono mpaka akili nayo imezunguka... Lowassa fisadi au si fisadi?acha kujichekesha kwangu,wewe ni nani mpaka uwapangie watu wakati gani aongee nini. BTW Assad hii sio mara ya kwanza kuongea hiki,au ulitaka akiongea aje akupe ripoti?
Jibu hoja alio toa ni kweli au sio kweli na toa ushahidi toka katiba na sheria za nchi. Labda kama unakubali na wewe yakufike.Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Mpaka Leo zile 1.5 trillion alizohoji CAG Assad hazijawahi kutolewa majibu yenye mashiko. Chattel Chattel priorities.
Auditing ni muhimu sana kwa makampuni yanaongozwa na company act na procedures zinaeleweka za kumu engage auditor users wake ni Shareholders and other interested users ila kwa nchi kitu pekee kinachomuongoza CAG ni Katiba tuu ambayo inaelezea kuanzia engagement yake mpaka mengine, na users wake ni General public.Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Hasira za Tril 1.5 alizopiga hayati na zile million 400( za umma) za matibabu ya Ndguyai nchini India ndizo zilizotengeneza fitna na hila kumtoa Prof Assad ofisini kabla miaka yake miwili ya kustaafu haijafika.Assad ni profesa gani huyu asiyejua kusoma katiba. CAG anateuliwa kwa kipindi cha miaka mitano, baada ya hapo anaweza kuteliwa tena kwa kipindi cha miaka mitano minge kwa ukomo wa miaka kumi. Yeye anseoma kuwa anatakaiwa awe CAG kwa miaka kumi? Alimaliza kipindi cha miaka mitano, halafu hakupewa kipindi kingine cha miaka mitano. Sasa analialia nini, CAG huteliwa na Rais, hachaguliwi na wananchi.
Kumbe ilimuuma sana, ndiyo maana mara tu baada ya JPM kufariki akaanza kelele; anatumaini mama atamrudisha! Halafu ofisi ya CAG ni taasisi siyo mtu; yeye mwenyewe Assad hakuwa anakagua vitabu bali kuna wakaguzi chini ya ofisi ya CAG. Sasa anataka kutuambia kuwa yeye ndiye aliyekuwa anafanya kila kitu bila kufuata eti "maelekezo;" mpuuzi sana huyu.
Kama kuna wakati hela za umma zilitumika vibaya ni wakati wa Kikwete; kuna kipindi ofisi ya rais ilipewa supplementary budget baada ya kukomba hela zote zilizokuwa zimetengewa kabla ya mda wake.
Some katiba kuhusu muhula wa CAG; ni miaka mitano, ambayo Assad alimaliza. Baada ya hapo, Rais anaweza kumteua tena kwa muhula mwinginemmoja wa miaka mitano tena, lakini JPM hakumteua. Asilalamike bali asome Katiba ajue inasemaje.Hasira za Tril 1.5 alizopiga hayati na zile million 400( za umma) za matibabu ya Ndguyai nchini India ndizo zilizotengeneza fitna na hila kumtoa Prof Assad ofisini kabla miaka yake miwili ya kustaafu haijafika.
Magufuli pia walimuua kwa kujifanya anajua sana, ndio maana kifo chake kilikuwa na utata mwingiKidume hakipo ila watu kawaachia maumivu makali hawataa wapate recovery...ni kulialia mpaka wanakufa nao
Jmn kuiba trilun 1.5 CYO mchezo aibe wapeleke wapi labd ndio kajengea madaraja jmn duh na kufince Kaz zingineHasira za Tril 1.5 alizopiga hayati na zile million 400( za umma) za matibabu ya Ndguyai nchini India ndizo zilizotengeneza fitna na hila kumtoa Prof Assad ofisini kabla miaka yake miwili ya kustaafu haijafika.
Kidume chako kiko wapi kwa sasa?Analazimisha kuonekana ni mtu msomi anaejielewa ana misimamo.
Bahati mbaya alikutana na Chuma.
Nilichokuwa nampendea yule baba JPM ukijifanya wewe ni wa muhimu sana kwenye hii nchi yeye anakuonesha namna ulivyo takataka tu na nchi inaweza kwenda mbele bila wewe hahahah.
Profesa uliondolewa na kidume sasa unalialia nini!!?
Best CAG alikuwa Utuoh; alimaliza kipindi chake akiwa anaheshimika sana. Assad hakuwa na legacy yoyote ya kuacha pale UDSM, aliondoka akiwa associate professor mwenye journal papers 14 tu, nusu yake zikiwa ni local kwenye journals za NBAA na IFM.Mwenzio kaacha legacy chuo kikuu UDSM na pia as one of the best CAG... vp wewe una legacy yeyote zaidi ya UCHAWA?