Kofianyeupe
Member
- Mar 8, 2020
- 95
- 94
Hakuna mwanasiasa ataiona pepo
Hakika maana wanawaza kuonekana bora hata walipokoseaHakuna mwanasiasa ataiona pepo
Hahaaa... Wanasiasa waongo sanaDada Vero alisema mwanasiasa akisema Ni asubuhi basi atatoka nje Kwanza kuhakiki kama just limetoka au la!
Sasa anajuta, miaka 10 ya ubunge imechafua c.v yakeAna, ulikuwa msafi , very clean, ulipokuwa kwenye wasafi, umekuja kwa mashetani lazima uwe shetani! Na ulitoka nje ukaacha kazi UNDP??? ukijua kuwa hapa kuna fedha za nje nje.. ndiyo maana ukaacha "ujiko" wa majuu! na kuja huku. Na kweli ukazifuma za "bure".. Heshima yako uliiua mwenyewe baada ya kujiunga na mashetani wa kijani, ukijua fika kuwa humu kuna aknaLuciferili, nyoka wala watu, nunda wala watu etc
Hata leo unamsifia Jiwe pamoja na atrocities zinazoendelea chini ya utawala wake! Ulikuwa JF ukajitoa baada ya kuona kwa watakatifu hapakufai!
Duh...!.Ana, ulikuwa msafi , very clean, ulipokuwa kwenye wasafi, umekuja kwa mashetani lazima uwe shetani! Na ulitoka nje ukaacha kazi UNDP??? ukijua kuwa hapa kuna fedha za nje nje.. ndiyo maana ukaacha "ujiko" wa majuu! na kuja huku. Na kweli ukazifuma za "bure".. Heshima yako uliiua mwenyewe baada ya kujiunga na mashetani wa kijani, ukijua fika kuwa humu kuna aknaLuciferili, nyoka wala watu, nunda wala watu etc
Hata leo unamsifia Jiwe pamoja na atrocities zinazoendelea chini ya utawala wake! Ulikuwa JF ukajitoa baada ya kuona kwa watakatifu hapakufai!
Halafu alisema waandishi wote walihongwa kama yupo anayekataa asema ili yeye awaanike hadharani. Kaka kweli ulikosa donge nono ili umpake matope mama huyu asiye na hatia.? HahaaDuh...!.
Huku sasa ni kuchafuana tuu fani za watu, wewe uzingiziwe uongo miaka 6 iliyopita, siku zote hizo usiseme ndio uje tuseme leo!.
Acha kutusingizia sisi waandishi tunahongwa!.
P
Wakati wa sakata lile, mimi nilisimama na Mama Tibaijuka.Halafu alisema waandishi wote walihongwa kama yupo anayekataa asema ili yeye awaanike hadharani. Kaka kweli ulikosa donge nono ili umpake matope mama huyu asiye na hatia.? Hahaa
Kwanini wakati alituhumiwa na tuhuma zote zilionekana kweli wakati huo!?Wakati wa sakata lile, mimi nilisimama na Mama Tibaijuka.
P
Tuhuma gani ilionekana ni kweli?.Kwanini wakati alituhumiwa na tuhuma zote zilionekana kweli wakati huo!?
Ashazirudisha kitambo na hatuna kesi nayekama ilikuwa si kauli yake, aliwqchukulia hatua gani? anyway ale hizo hela kwa amani, zitakuwa zimekuwa na thamani sasa, atakuwa anajuta kuziita za mboga sasa make vyuma vimekaza!
Pasikali nasikia umerudishiwa lessening hongera zako ila wasikutiiishe in Maalm voice