Viwanja vya wazi? Nchi hiii unaijua au unaisikia? Wamiliki wa viwanja vya wazi ndio wamiliki wa madaraka ya nchi hii leo useme unataka kuwanyang'anya viwanja vya wazi utafika mahala kweli? Mama alikuja na moto kumbe ulikuwa wa kifuuu akasikika siku mbili tu kwisha habari yake!!! Anataka kukimbilia Jangwani; jana nikaona Zungu amemkaba kooo kwelikweli sasa sijui mama leo itakuwaje.
jana Elisha Elia amemuuliza kuwa mbona umezimia ghafla umepigwa stop? Akasema hakuna, ila kazi hii anaielewa sana na inahitaji professionalism. Sasa alipokuja na moto hakujua kuwa kazi aliyopewa inahitaji professionalism. Hapa Mama hukujibu kama Professor!!! It is apity kuwa unapokuja Tanzania na intelectuality yako toka nje, ukifika hapa unakuwa zezeta, msema uongo, ubabaishaji etc. Prof. umetuvunja maini tuliokutegemea uonyeshe mfano. Kweli Magamba wana nguvu. Afadhali ungelikataa uwaziri ukalinda heshima yako!!!! Kwaheri mama Profesa.
Prof. Byalema abalaileyo ngu lelo abazinduka!!! (samahani kwa kutumia kilugha nataka imuingie moyoni)

waliompa kazi hiyo ndiyo waporaji wakuu wa viwanja vya wazi
wengine waliopora viwanja wana urafiki wa karibu na waliompa kazi -- na yeye anaipenda kazi yake.
kokotoa.
I see, what's happening now?Mama alikuja na moto kumbe ulikuwa wa kifuuu akasikika siku mbili tu kwisha habari yake!
hili pango linaloitwa 'ccm' ni la maajabu sana, yaana hata mtu aje na uwezo kiasi gani from that point anaanza ku grow negatively (downward)! ...ni bora chama kifutwe kama wazee walivyoshauri huko nyuma.
Nikifikiria credibility ya mama Prof. najisikia vibaya sana!
Pole pole mkuu! Utagusa imani za watuCCM hata akiletwa yesu mwenyewe watambadilisha awe fisadi.