Prof. Anna Tibaijuka na harakati za kurejesha Viwanja vya Wazi...

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Napenda nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati uthubutu wako.

Pamoja na pongezi hizo, naomba nitoe tahadhari kwamba ni vigumu kupata mafanikio katika vita hivyo, katika mfumo wa sasa unaoendekeza ufisadi. Ujuavyo hao wote unao wanyanganya viwanja watakimbilia mahakamani, na kuna uwezekano mkubwa mawakili watakaokuwa wanatetea upande wa serikali kwa makusudi au kwa kutokuwa na uwezo, watatoa utetezi dhaifu. Matokeo yange serikali itaamriwa kulipa fidia za mabilioni ya fedha.

Hivyo nashauri kwa kesi zitakazofunguliwa kutokana na zoezi hili, uhakikishe wewe mwenyewe, kwa wanapatikana wanasheria makini na wasio mamluki, kwa upande wa serikali.
 
PM Pinda amewahi kutoa angalizo juu ya mafisadi kushikilia uchumi! Je mama Tibaijuka atawaweza? Duuuuuuuuu, wanatisha wakienda mahakamani!
 
Prof. nakumbuka uliingia kwa mbwembwe, tukaona kuwa hapa kazi ndio imeanza, kumbe lo!!!!!!! mpaka leo hakuna kiwanja cha wzi mambacho kimerudishwa. "Umepewa Shuntama" ya kihaya!!!!!! Ukashuntama kweli, kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
hili pango linaloitwa 'ccm' ni la maajabu sana, yaana hata mtu aje na uwezo kiasi gani from that point anaanza ku grow negatively (downward)! ...ni bora chama kifutwe kama wazee walivyoshauri huko nyuma.
Nikifikiria credibility ya mama Prof. najisikia vibaya sana!
 
Kapigwa biti na wakubwa kwa sababu anaowatoa kwenye viwanja vya wazi ndio waliochangia uchaguzi wa magamba 2010 na miaka mingine. She iz no longer comfortable kuwa kwenye executive
 
Katokea UN huyo na mwenzie Nundu wa usafirishaji wamechakachuliwa kimyaaaaaaaa. Hawasikiki tena
 
Prof. nakumbuka uliingia kwa mbwembwe, tukaona kuwa hapa kazi ndio imeanza, kumbe lo!!!!!!! mpaka leo hakuna kiwanja cha wzi mambacho kimerudishwa. "Umepewa Shuntama" ya kihaya!!!!!! Ukashuntama kweli, kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

kuna watu waliingia na gia ya maisha bora kwa kila mtanzania, na wakafulia itakuwa hiyo ya viwanja vya wazi?
 
Huyu mama (ooops Profesa) alichemka na watu kwa kutumia uzoefu wetu tukajua tu hiyo ilikuwa nguvu ya Mountain Dew!
 
hili pango linaloitwa 'ccm' ni la maajabu sana, yaana hata mtu aje na uwezo kiasi gani from that point anaanza ku grow negatively (downward)! ...ni bora chama kifutwe kama wazee walivyoshauri huko nyuma.
Nikifikiria credibility ya mama Prof. najisikia vibaya sana!

You are very right, credibility ya mama huyu inakufa kwa kujiunga na genge la wahuni, mafisadi, wahujumu uchumi!!!!!. Huyu mama ni credible in every aspect, but you need to be placed to show your talents.
 
kaka CCM ni speed gavana - mama na elimu yake yote katulizwa kama hayupo vile mchezo - awaulize wakongwe kina magufuli misukosuko waliyoipata hadi kuambiwa hadharani kwamba wana kimbelembele.

Ukikubali uongozi ukiwa ndani ya serikali ya CCM - kubali kufanya kazi chini ya kiwango chako, elimu yako & uwezo wako ili kutekekeza sera za kifisadi.
 
alihaidi kubomoa majengo kaishiwa kuvunja ukuta...magufuli alipiga X kila nyumba na mabango ya matangazo,.kaishia kubomoa jengo la TEMESA ubungo..nawashauri wamdai alipe,..kwanini abomoe jengo moja wakati yamepigwa X mengi..hiyo ndio ccm,.samaki mmoja akioza wote wanaoza nyambafffffffff
 
Mlio JF na mnafahamu namba ya mama huyu mpigie asome aone comment za watu wanamuonaje na matumaini waliyokuwa nayo na yeye. Sasa amewalet down
 
Prof. nakumbuka uliingia kwa mbwembwe, tukaona kuwa hapa kazi ndio imeanza, kumbe lo!!!!!!! mpaka leo hakuna kiwanja cha wzi mambacho kimerudishwa. "Umepewa Shuntama" ya kihaya!!!!!! Ukashuntama kweli, kimyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Mapanga ya wazo hill yamemkimbiza...........
 
Halafu kuna mtu humu anamfagilia awe rais wetu 2015!!! Kama hili la viwanja linamshinda je ya Richmond na Dowans atayaweza??
 
hiyo ndo serikali ya ccm.Ukitaka kufanya kazi kwa bidii na haki unapigwa stop.ukiwa mwizi wanakuachia uendelee
 
Leo ni bajeti yake. wabunge mkumbusheni ahadi yake ya kurudisha viwanja vya wazi hasa vile vya taasisi za umma particularly shule za msingi.
 
Leo ni bajeti yake. Mkumbusheni ahadi yake ya kunusuru viwanja vya wazi hasa vya taasisi za uma particularly shule za msingi.
 
Back
Top Bottom