Profesa Anna Tibaijuka: Kumaliza tatizo la machinga kuwe na adhabu iwekwe kwa wanaonunua ovyo barabarani

Hahaha aice hapa ndo huwa namkumbuka......His Excellency,president for life, Field Marshal, All Hajj, Doctor, vc, DSO, MC, Lord of all the Beasts of the Earth and fishes of the sea and conqueror of British Empire in Africa in General and Uganda in particular

IMG_20211127_203406_840.jpg
 
Hilo wazo lake ni sahihi sana. Ila kulielewa, ni lazima mtu awe na akili kubwa.
Akili kubwa ni kuwaachia wamachinga waendelee na biashara huku ukivizia wanaonunua uwakate. What the https://jamii.app/JFUserGuide.
 
Haya yote hayatokei kwa bahati mbaya Bali ni makusudi kabisa ili kulinda wafanyabiashara wa kubwa.

Hai ingii Akilini viingozi wengi waserikali wanadhani watanzania wote wana uwezo kama wao wakwenda kufanya soping kwenye mashoping Moll makubwa na yenye vitu vya gharama.

Wanasahau kwamba machinga wamekua wanakithi mahitaji ya watu wachini kabisa.

Haya SERIKALI inayoyafanya hathari Yake imeshaanza kujitokeza kwa kupanda kwa bei ya vitu mitaani kila siku maana wakubwa ndio chaguo la Awamu ya 6 MUNGU tusaidie waja wako.
 
Inasikitisha mno
 
Mpingeni Professor kwa hoja sio kwa mhemko, yeye anafikiria katika level ya kidunia sio kipopoma popoma. Na si kila mmoja ana staili kujibizana na professor, ubinafsi wenye ujinga na upumbavu ni bomu baya sana kwa taifa.
Kwani tz tumeshafika kwenye maisha ya level ya duniani huko? Wangapi hawazijui supermarket,hata maduka makubwa sababu ya vipato vyao. Yeye na chama chake ndo wametengeneza hao watu na kuwaruhusu.
 
Hoja ya prof.. ipo vizuri sana bila serikali kuweka utaribu mzuri wa machinga hawa basi the problem will be the same.. nchi masikini kama zetu, machinga hawawezi kuwa eliminated..wenda tiweke sera nzuri ya ununuzi.. wa vitu vya mkononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anna siasa zimemuharibu mpaka amesahau basic economics!! Ili kuwa na soko ni lazima kuwa na muuzaji na mnunuzi [ Supply and Demand}! Sasa hao anaosema watungiwe sheria na kukamatwa kwa kununua vitu barabarani utawapataje kama wamachinga watakuwa wameondolewa?

Suluhisho la machinga ni kuwajengea masoko yanayokidhi mahitaji yao karibu na makazi ya watu ambao ndio wateja wao!! Msijenge masoko bila kuwahusisha wafanya biashara wenyewe otherwise mtajenga white elephants kama pale MACHINGA COMPLEX ilala!!!
Wewe bado sana... neno lenyewe machinga inaonekana ujui vizuri maanana yake, yani machinga humujengee na soko .. huyo bado ni machinga au business man.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani tz tumeshafika kwenye maisha ya level ya duniani huko? Wangapi hawazijui supermarket,hata maduka makubwa sababu ya vipato vyao. Yeye na chama chake ndo wametengeneza hao watu na kuwaruhusu.
Umenena vema pia, ifike wakati cheo ni dhamana na cheo ni kutumikia watu ibebe maana halisi badala ya uhuni wa sasa kwamba cheo ni usultani, ufalme na kutumikisha na kuwatesa watu na kuabudiwa.
 
Watu humu mna stress za maisha Prof ana hoja ya msingi hao machinga huwa hawatoi hata receipts wakinunua Sasa na wewe raia ukikutwa na bidhaa umrnunua holela lazima kuwe na fine, acheni makasiriko kwa huyo Prof mzoefu wa kimataifa
 
Mpingeni Professor kwa hoja sio kwa mhemko, yeye anafikiria katika level ya kidunia sio kipopoma popoma. Na si kila mmoja ana staili kujibizana na professor, ubinafsi wenye ujinga na upumbavu ni bomu baya sana kwa taifa.
I agree with you hawajibu hoja hapo zaidi ya kumshambulia uzee wake, Prof ana hoja hili swala la michango inabidi lije na sheria na fine zake kuwa implemented nguvu kazi ya taifa inapotea bure imagine vijana wenye nguvu wanazurula kuuza pipi, na mikanda ya suruali na hawalipi Kodi kabisa
 
Haya yote hayatokei kwa bahati mbaya Bali ni makusudi kabisa ili kulinda wafanyabiashara wa kubwa.

Hai ingii Akilini viingozi wengi waserikali wanadhani watanzania wote wana uwezo kama wao wakwenda kufanya soping kwenye mashoping Moll makubwa na yenye vitu vya gharama.

Wanasahau kwamba machinga wamekua wanakithi mahitaji ya watu wachini kabisa.

Haya SERIKALI inayoyafanya hathari Yake imeshaanza kujitokeza kwa kupanda kwa bei ya vitu mitaani kila siku maana wakubwa ndio chaguo la Awamu ya 6 MUNGU tusaidie waja wako.
Hawawezi kukuelewa hapa, ila umeongea kitu cha kweli kabisa.
 
Watu humu mna stress za maisha Prof ana hoja ya msingi hao machinga huwa hawatoi hata receipts wakinunua Sasa na wewe raia ukikutwa na bidhaa umrnunua holela lazima kuwe na fine, acheni makasiriko kwa huyo Prof mzoefu wa kimataifa
Yaan was tz wanashangaza San lol
 
I agree with you hawajibu hoja hapo zaidi ya kumshambulia uzee wake, Prof ana hoja hili swala la michango inabidi lije na sheria na fine zake kuwa implemented nguvu kazi ya taifa inapotea bure imagine vijana wenye nguvu wanazurula kuuza pipi, na mikanda ya suruali na hawalipi Kodi kabisa
Yes kwa tafakari tu nimefikiria pia kiujijinga nadhani kwa maoni pia aidha professor alijifikiria yeye,kutoa mfano wake,akatumia exposure yake, hakupanua nadharia ya ufikiri hasa kutengeza characters wa two opposing sides kisha afikiri kwa options zote. Mfano haiko hivyo anavyopendekeza, je kwa namna ilivyosasa, namna swala lilivyoshughulikiwa na kadhia yake yeye anashauri, tayari hali ndio hii tufanyaje katika muktadha huu ambao hatuna hio sheria?

Hawezi kukosa balance ya kufikiri pia kwa niaba ya wamachinga nimewaza tu kijingajinga.

Given the situation what would should have done if she a mkuu wa mkoa, waziri etc for the win-win situation? Imagine yeye ni mchumi kiuweledi. Hata ndotoni tu hawezi fikiria japo hata moja kwa niaba ya kusaidia machinga kwa ilivo sasa? Ni uchokozi tu na ukoroofi tu wa kimawazo naufanya kama Mama wa Ntwara.
 
Ifike mahali maamuzi magumu yawe yanafanyika kuweka good precedent na sio kujifanya kuhurumia watu wasiofata taratibu maana nchi hii unafiki na siasa ni janga kubwa sana, na hii machinga watu wanatumia hisia wahurumiwe mbona wakulima wanaozalisha chakula kinachotumika Dar hawahurumiwi why machinga politicizing kama wao ni special group wanaohitaji favor tu.
Tibaijuka ana exposure kubwa kuliko wengi humu loh na sio kushambulia eti kajifikiria yeye
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom