ajiuzulu..ndio ajue ukiwa waziri halafu unazungukia matajiri kuomba hela kwa miradi yako binafsi sio maadili. Kwani wanaomchangia anawapa hisa kwenye huo mradi wake wa shule? Alichofanya ni matumizi mabaya ya ofisi yake kama waziri. Kwa mtindo huo rugemalila akitaka hisani yoyote kwa waziri ataweza kumkatalia?
kuwa na nidhamu. Kunadada zako wanasomeshwa na yy bureee. Acha ubinafsi weyeeee
huyu mama anafaa sana ni mchapakazi na nimsomi. Ulionaga wapi msomi akawa mbuzi wa kafara? Hawa wasomi maprofesa ni watendaji wenye uthubutu na ambao huchapa kazi nzuri na nzito. Hatakiwi kujiuzuru maana hizo pesa sio zake bali ni za kuwasaidia wanawake kupata elimu katika shule zake kabambe zenye viwango vya hali ya juu.