Prof. Anna Tibaijuka atangaza kutogombea tena Ubunge, asema hakuna wa kumshinda zaidi ya Mungu

Hao ni wabunge masalia wa jk washajua watakatwa wote hivo wanajihami.Hakuna aliyewahi tosheka na hela
 
Nimekuuliza maswali mawili tu?!!ila unatoa maelezo rukuki!!! Wala sina asili ya uko unakokusema, namjua Tibaijuka,ni mmoja kati ya wanawake wachache sana smart, ambao wamewahi kuzaliwa katika hii nchi. Nimekutana naye kwenye platforms mbalimbali kubwa za kitaifa na kimataifa,ni mama mwerevu, msikivu na mchapakazi.Tatizo vijana wa kizazi cha kisasa hamji shughulishi kupata maarifa na taarifa za nyanja za kidiplomasia duniani!!mnajishughulisha na umbea na mambo madogo madogo tu.
Eleza umalotaka kueleza ili unibadili niliyoandika.. ungekuwa na la maana la kuandika husimgeniuliza maswali ya huko mkoani kwenu.. sijui kijijini kwenu.. watu wa kabila hilo maringo yamewajaaa tu.. angetemwa.. anaondoka kwa kuwa hajapeea kazi.. mama wa mgawo wa zile pesa.. fis...
 
Utakuwa na chuki naye sio bure.


Huwezi ukamlinganisha na wew huyo mtu.
Heshima yake itabaki pale pale alikuwa mwanamke wa Kwanza kuwa UN vice secretary.kama hutaki jinyonge.



Lakini walau muleba amefanya kitu amajenga Barabara,masoko na mashule kibao kuliko wabunge wengine wengi ambao hawafanyi lolote
Mkuu Un vice secretary hakuwa yeye,

Labda unamfananisha na Dk Asha Rose Migiro!
 
Eleza unalotaka kueleza ili unibadili niliyoandika.. ungekuwa na la maana la kuandika husimgeniuliza maswali ya huko mkoani kwenu.. sijui kijijini kwenu.. watu wa kabila hilo maringo yamewajaaa tu.. angetemwa.. anaondoka kwa kuwa hajapeea kazi.. mama wa mgawo wa zile pesa.. fis...
Mbona unaandika mafumbo mnaogopana? Kesho tu mtamsifia...
 
Back
Top Bottom