denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,511
- 68,141
Pole sana. Utabaki kutupigia kelele huku JF miaka yote.abadilishe na wengine wapate nafasi.
Pole sana. Utabaki kutupigia kelele huku JF miaka yote.abadilishe na wengine wapate nafasi.
Nakubaliana nae Rais Dk. Magufuli kwa 100% kuwa hama haja ya Kufanya 'Mabadiliko' makubwa kwani waliokuwepo 'Utendaji' wao ulikuwa mzuri.
Alitarajia Yeye au Rais Dk. Magufuli ndiyo alitarajia? Tatizo lenu Watu wa 'Upinzani' mna Mapungufu makubwa ya kuwaza 'Uzushi' na 'Umbea' tupu.Dc Sabaya kule Jimbo la Hai,alitarajia kupatiwa URC,sasa itakuwaje Kama hakuna mabadiliko.
Kwa sababu wapinzani baadhi ndio wanaongoza kwa "UKINGA" huo. Mtu anataka kuuza nchi na kuifanya koloni tena; akili kweli, au???Hana jipya.
ANACHOWEZA NI KUPAMBANA NA WAPINZANI,
HAJUI KUWA MWALIMU NYERERE ALIAINISHA MAADUI WA TANZANIA NI UMASIKINI, UKINGA NA MARADHI.
Jiwe anajua maadui wa Tanzania ni wapinzani.
Tumemchoka.
Kuna siku utaukumbuka upinzani na hautaupata. Chezea mashati ya kijamii we.Alitarajia Yeye au Rais Dk. Magufuli ndiyo alitarajia? Tatizo lenu Watu wa 'Upinzani' mna Mapungufu makubwa ya kuwaza 'Uzushi' na 'Umbea' tupu.
Tunajua upinzani uko mioyoni ndiyo sababu huo upinzani usingeweza kutoka huko mioyoni kwenda kuandamana barabarani kwa mujibu wa wito wa Mr Mzungu. Na kwa vile hakuna aonaye kilichomo mioyoni, nani ajuaye, pengine ulishajistaafia wenyewe kitambo tu.Jiwe amepambana sana na CHADEMA Lakini hajui maadui wa nchi kuwa ni.
Umasikini.
Ujinga.
Maradhi
MWAMBIE UPINZANI UKO MIOYONI MWA WATU.HATUMPENDI.
Sasa 'Unanilaani' au?Kuna siku utaukumbuka upinzani na hautaupata. Chezea mashati ya kijamii we.
Tunajua upinzani uko mioyoni ndiyo sababu usingeweza kutoka huko mioyoni kwenda kuandamana barabarani kwa mujibu wa wito wa Mr Mzungu. Na kwa vile hakuna aonaye kilichomo mioyoni, nani ajuaye, pengine ulishajistaafia wenyewe kitambo tu.Jiwe amepambana sana na CHADEMA Lakini hajui maadui wa nchi kuwa ni.
Umasikini.
Ujinga.
Maradhi
MWAMBIE UPINZANI UKO MIOYONI MWA WATU.HATUMPENDI.
Sikulaani ila nimekukumbusha tu.Sasa 'Unanilaani' au?
Na tunatamani afe.Jiwe amepambana sana na CHADEMA Lakini hajui maadui wa nchi kuwa ni.
Umasikini.
Ujinga.
Maradhi
MWAMBIE UPINZANI UKO MIOYONI MWA WATU.HATUMPENDI.
Wewe pia 'umejikumbusha' lini?Sikulaani ila nimekukumbusha tu.
Usisahau kwamba yeye ni mwenyekiti wa chama chenye wabunge wengi zaidiAnajua mpaka Spika na Naibu wake hawatabadilika, jamaa ana control everywhere.
Abadilishe na wengine wapate nafasi.
DED wanaomba kuhamishwa vituo vyao, madudu waliyoyafanya kipindi Cha uchaguzi mazingira yanawasuta.Madiliko ya uongozi ni gharama sana haswa kiutendaji
Heri waendelee waliopo kama mabadiliko abadilishe pale inapohitajika