Producer Man Water apewe heshima aisee

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,636
Mimi sio mpenzi sana wa miziki ya Bongo Flava ya siku hizi kwa sababu beat zake asilimia 90 zimetengenezwa kwa kompyuta.

Kipindi nasoma Secondary School tulikuwa na music lessons. Tulifunzwa kusoma music notes na kucheza instruments kama recorder, guitar na keyboard.

Twende kwenye mada sasa. Leo mdogo wangu wa kike kacheza muziki wa Malkia Karen (mtoto wa Gardner Habash) uitwao “tutoke”. Beat ya hii nyimbo imenikosha sana aisee. Instruments zinasikika vizuri sana aisee. Hakuna kuchakachua. Nyimbo nimeicheza siku nzima kwenye gari yangu.

Producer Man Water Mungu akuweke!
 
Very true ule wimbo man walter kapiga vizuri sana ala za muziki kila kitu kina sound live aisee ni mapinduzi ya muziki wetu watu waache kutumia fake melodies za computer.
 
Beat ya hii nyimbo imenikosha sana aisee. Instruments zinasikika vizuri sana aisee. Hakuna kuchakachua. Nyimbo nimeicheza siku nzima kwenye gari yangu.
Samahani mkuu rekebisha kidogo hapo kwenye wino mzito.
Sio hii nyimbo badala yake sema huu wimbo.
Sio nyimbo nimeicheza badala yake sema wimbo nimeucheza.

Ukisema nyimbo ipo ktk uwingi, wimbo ni mmoja.

Don't take it too personal.
 
sijajua sikio lako mziki kweli mzuri ila mixing ndio ilikuwa mbovu katika huo wimbo
 
sijajua sikio lako mziki kweli mzuri ila mixing ndio ilikuwa mbovu katika huo wimbo
maana ukisikiliza vyema high haikutanuka hiss ziko juu sana mid nayo iko naro kabisa nikama haikuwa compressed ngoma mzima
wanofanya production wanaweza kunielewa vyema its like iko demo vile.

but all in all kuna mda sielewi wanakuwa wanafanyaje why ngoma inaweza toka mixing mbovu yako mengi yanatokea sana but Man Water namkubali uwezo wake hii haiwei mfanya niseme hafanya kazi za ubora ila sijajua sijui inakuwa nikupitiwa au wanakuwa wanafanya wale wasaidiz au wnafaunzi mda mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom