Eti ni hatua zipi za kufuata nikihitaji kujiunga na chama cha siasa, proccess zake zko vipi..?? natakiwa nianzie wap?? Kama unafahamu na mambo mengine ya ada na vnginevyo naomba unijuze.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.