Problem On Pc | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Problem On Pc

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Belo, Apr 13, 2008.

 1. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2008
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,265
  Likes Received: 4,238
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wana JF naomba msaada Computer yangu niliifungua then nilipoifunga ikisha-boot inaleta message hapo chini na inaishia hapohapo haiwaki je tatizo ni nini? nahisi labda kuna ki2 kimekaa vibaya

  (Novell Netware Ready Firmware V1.100(940809)
  Copyright 1991-1994 Novell,Inc All Right Reserved
  Sis 900/7016 PCI Adapters DOS ODI Driver VI.14(020416)
  Copyright 1998 Sis Corp All Right Reserved)
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Apr 13, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Ndugu Yangu Hiyo Inaboot Na Network Card Wakati Ilitakiwa Kuboot Kwenda Kwa Hdd Au Cdrom

  1 - Inawezekana Hard Drive Yako Imekufa

  2 - Angalia Boot Sekuence Katika Bios Kisha Panga Upya

  Ukitaka Kwenda Katika Bios Bonyeza Delete Au F2 Wakati Unawasha Hiyo Computer

  Pia Funga Hiyo Hdd Kama Slave Kama Umeshindwa Kuonekana Kabisa Ili Uweze Kutoa Data Zako Mapemba

  Kuna Aina Ya Hdd Ambazo Huzimika Zenyewe Nazo Ni Maxtor Sijui Yako Ni Aina Gani
   
 3. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..pamoja na kwamba hujatoa maelezo mengi,inaoneka hii pc imenunuliwa ikiwa imeshatumika...............

  ..sasa,mkiwa mnataka kununua vitu vya kiufundi kama hivi si vibaya mkapata ushauri toka kwa wazoefu, angalau.
   
 4. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mafundi bwana!
   
 5. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ........lol!
   
 6. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #6
  May 17, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Nadhani Belo uufuate ushauri wa SHY inaweza kusaidia KUFUNGUA tena pc yako.

  Jamani nauliza, ktk laptop yangu kuna strips zinaonekana ninapoiwasha ila ikiwa off hazionekani, niliwahi kupeleka kwa washauri-ufundi wakasema matrix ina utata, mara wengine wakasema kuna virus ambao wameifanya iwe ivo. na mpaka sasa vimstari vipo nane vinaongezeka kila baada ya mwezi. Je hapo kunani??
   
 7. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #7
  May 17, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..ya mwaka gani? inaweza ikawa display inakufa taratibu.
   
 8. P

  PanguPakavu Amy Senior Member

  #8
  May 18, 2008
  Joined: Jul 7, 2007
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  if its Dell,then thats a problem with display drivers,updated drivers will do enough.its a very common problem with dell displays.check their web-portal,they have a comprehensive solution in their site http://support.dell.com/

  if its another manufacture then it can either be a driver related issue,or a hardware problem.
   
 9. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2008
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..pangu,

  ..ulikuwa umejificha wapi?
   
 10. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2008
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama utahamisha Uendesha Mgumu "Hard Drive" kwenye mtumwa "slave", basi kumbuka kubadilisha na virusha "jumpers" pia, la sivyo itakuwa bila bila. Tunakusaidia au ndo unazidi kutokomea gizani......Tuma PM au elezea in details tatizo lako usaidiwe zaidi.
   
 11. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #11
  May 18, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Hi Watu Za Jumapili

  Nami Napenda Kuongezea Mambo Kadhaa Tatizo Hilo La Strips Hata Laptop Zatoshiba Hizi Za Sasa Ambazo Ziko Sokoni Mjini Dar Es Salaam Ziko Hivyo Ukirudisha Dukani Watakwambia Ni Matatizo Ya Umeme Kwahiyo Hawawezi Kukurudishia Mali Upya .

  Tafadhali Nenda Kaangalie Ni Ma Tech Wako Kama Kuna Chochote Kinahitajika Tutaweza Kukusaidia Zaidi

  Ahsante
   
Loading...