Izc
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 546
- 368
Nakumbuka pro. Muhongo alitoa kauli ya kutathimini utendaji wa wakurugenzi wa TANESCO kila baada ya kipindi cha miezi kadhaa.
Naomba tathimini hii iuangalie mkoa wa Kagera hasa wilaya ya Bukoba. Tangu Jumamosi mpaka leo Jumatatu hakuna umeme kabisa hapa Bukoba.
Kwa mwendo huu Bukoba yaweza kukosa umeme hata wiki kama waziri hatotia mguu.