Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

Duh! ina maana Waberoya ndiyo Eng. Burton Bukuku? Maana hayo mathread yaliyoorozeshwa yalianzishwa na Waberoya.
 
Nimemiss sana Waberoya kwa hoja zake kali. Mara ya mwisho alisema yeye ni mwenyeji wa Mbeya na alichambua kwa uzuri sana saisa za Mbeya. Hata Bukuku naye anatoka Mbeya.

Alipoambiwa ni mgombea mmojawapo aliyeenguliwa katika uchaguzi wa Bavicha alijibu yeye ni Mhandisi (Injinia) pale UDSM- COET. Mimi nilimwelewa sana.

Leo tena tunaambiwa Eng. Bukuku (bila shaka from Mbeya) kama alivyo Waberoya naye anatoka Mbeya.

Kama hawa ni watu wawili tofauti basi kwa kuwa wote ni Wahandisi naona kama wana mtazamo sawa kwa mambo mengi

Ngoja tuendelee kuchemsha akili.
 
Waberoya alikuwa obssessed na CDM.Kama huyu ndo yeye basi anaendeleza tu upro fisadi wake.Lakini kumbe ni muhandisi.Mwanzoni alipokuja alikuwa hana matatizo ndo maana naamini katumwa.Inasikitisha sana.
 
Watu wa aina ya Eng. Bukuku huwa sijishughulishi nao nikiisha soma kichwa cha thread na imeanzishwa na nani basi napiga chini. Nafikiri ni ile NAPE &Co....
 
Jamaa huyu bwana anachukia mabadiliko, amezoea kidumu chama cha mapinduzi na fikira sahihi za Mwenyekiti.
Hata kama hapendi lakini ukweli mmoja ulio wazi ni kwamba hakuna hawezae kuzuia huu upepo wa mabadiliko, huyu Waberoya ni kilaza tu hana lolote.
 
Jamaa huyu bwana anachukia mabadiliko, amezoea kidumu chama cha mapinduzi na fikira sahihi za Mwenyekiti.

Hawa ni watu walio zoea kufikiri kwa kutumia tumbo sasa yakitokea mabadiliko yatawaathiri sana kiuchumi na kijamii ndo maana wanapinga mabadiliko kwa nguvu zao zote yasitokee.
 
[h=2]
icon1.png
CHADEMA bila Eng Bukuku inawezekana![/h]
Nimepitia Mabandiko ya Eng Bukuku nimegundua yupo kwa kazi maalumu. Uzuri JF ni kisima cha kumbu kumbu na maandishi yake huwa hafutiki. Thanks MoDS. Ukiangalia mabandiko yake hapa

https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=4856072

Utaona ni propaganda mbaya zidi ya CHADEMA wakati huo huo akijificha juu ya kivuli kuwa yeye yuko independent. Nitaweka baadhi ya thread zake hapa

  1. Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely
2.Thank God Slaa is not the president, and that will never be

3.Possibility of Changing my ID -https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/143656-possibility-of-changing-my-id.html[/h]

4.Inflammatory: CHADEMA hawako kwa maslahi ya taifa, they are just another tool

5.Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

6.Chadema na cuf nunueni majeneza na sanda...hamtufai Tanzania

7.Many CHADEMA followers are NOT Real and are like UVCCM! ( IS CCM>WAPINZANI??)

8.Challenge: Is Mbowe another future Rostam Aziz or Edward Lowassa?

9.CCM ukimwi! Babu Loliondo -Chadema

Kwa mtu yeyote aliye makini atajua huyu bwana ana kazi moja.

Kila laheri Waberoya.​
 
Waberoya alikuwa obssessed na CDM.Kama huyu ndo yeye basi anaendeleza tu upro fisadi wake.Lakini kumbe ni muhandisi.Mwanzoni alipokuja alikuwa hana matatizo ndo maana naamini katumwa.Inasikitisha sana.
Exactly mkuu yuko obssessed na CDM, Slaa na Mbowe hawa jamaa huwa wanamtesa sana hajui mtu unaweza kuteseka kwa kupenda kitu au kuchukia kitu kupita kiasi.
 
System at work, Waberoya acha unafiki, kwa kweli Fellow Tablet umefanya shughuli pevu kumuumbua huyu mnafiki...
 
Hii Thead mbona imekaa ki-Kitchen Party zaidi, naona umeamua kufanya kazi za Mods, sina muda wa kuchangia huu upuuzi
Huyu mpuuzi amesema yeye hana muda wa kuchangia thread hii lakini cha kushangaza bado ameganda tu kwenye hii thread! swali kwani JF thread ni hii moja tu? au unawashwa?
There are currently 30 users browsing this thread. (18 members and 12 guests)

Duh, kumbe waberoya ndiyo Eng. Bukuku?! JF si mchezo. Huyo jamaa naona atabadili tena ID.
 
System at work, Waberoya acha unafiki, kwa kweli Fellow Tablet umefanya shughuli pevu kumuumbua huyu mnafiki...

Mnafiki sana aisee huyu! Mfumo wetu wa elimu na serikali imefanya wengi wasiweze kuhoji ama hata kutofautiana kwa hoja. Darasani ilikuwa kosa kuuliza swali wala kutoa challenge. Serikali ndo kabisa inagandamiza sana ukiwa kinyume utapoteza kazi, nyumba na hata kutishiwa kuuwawa. Thanks to Vyama Vingi. Uzao wa akina Bukuku na ugando wa mawazo yao utafikia mwisho.

Maneno ya Waberoya haya

1. Some people have been tracking me for five months now
2. I have been receiving some message via my mobile phone with some contents suggesting my participation in JF

3. In some cases (not proved) some people have been following me.

Mfumo wetu na tamaduni za kuwa woga huwezi kuwa tofauti. Anachofanya BUkuku Eng Burton ni hicho nilichokieleza hapo juu. Hawezi kufanya kitu kinyume cha serikali..anafatiliwa kwenye simu hahahahahahaha anatishiwa kuuwawa...all these consipirancies.
 
uzuri wa engineer, ni kua anapost thread, then anaanza kumark...like failed, failed, pass, cannot grade..........hii imenifurahisha sana, keep on marking brother..........i wonder how wil u mark mine............but kiukweli, umehit point..........and jamaa zangu, jibuni hoja kwa hoja.....not ushabiki.........
 
Jamani mbona watu wa Magamba wanashambuliwa sana, hao ni wanajamii wenzetu hivyo nao lazima watoe maoni yao hata kama itatokea yakaonekana kuwa mwiba kwenu nyie wa Magwanda. Jamani kwani lazima kila wakati tuone habari za CDM tu. Kwani kweli Slaa ni Raisi au haku mgombea wa Uraisi? Tuache propaganda jamani duh.
 
Mnafiki sana aisee huyu! Mfumo wetu wa elimu na serikali imefanya wengi wasiweze kuhoji ama hata kutofautiana kwa hoja. Darasani ilikuwa kosa kuuliza swali wala kutoa challenge. Serikali ndo kabisa inagandamiza sana ukiwa kinyume utapoteza kazi, nyumba na hata kutishiwa kuuwawa. Thanks to Vyama Vingi. Uzao wa akina Bukuku na ugando wa mawazo yao utafikia mwisho.

Maneno ya Waberoya haya

Kwaiyo huyu bwana anataka kutuaminisha hapa JF huwa tunajisajili na namba zetu za simu? hili ni akili za makalioni.

1. Some people have been tracking me for five months now
2. I have been receiving some message via my mobile phone with some contents suggesting my participation in JF

3. In some cases (not proved) some people have been following me.

Mfumo wetu na tamaduni za kuwa woga huwezi kuwa tofauti. Anachofanya BUkuku Eng Burton ni hicho nilichokieleza hapo juu. Hawezi kufanya kitu kinyume cha serikali..anafatiliwa kwenye simu hahahahahahaha anatishiwa kuuwawa...all these consipirancies.
Kwahiyo huyu bwana anataka kutuaminisha kwamba hapa JF namba zetu za simu zinajulikana? hizi ni akili za makalioni.
 
uzuri wa engineer, ni kua anapost thread, then anaanza kumark...like failed, failed, pass, cannot grade..........hii imenifurahisha sana, keep on marking brother..........i wonder how wil u mark mine............but kiukweli, umehit point..........and jamaa zangu, jibuni hoja kwa hoja.....not ushabiki.........
Rubbish plus plus.
 
Back
Top Bottom