Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,315
- 45,627
Sio rahisi uwakute johnthebaptist jitombashisho Kinuju YEHODAYA kipara kipya kwenye jukwaa la mapenzi
Akina kibajajiKwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.
No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya hewa....yaani wamekaa kiugomvi ugomvi!
Hawajiamini, kama vile wana psychological disorder... Stress tu. Mnaongea issue za kawaida mwenzio anakuja na issue za Mbowe, chadema sijui CcM aaghr
Nasema uongo ndugu zangu? Kuna maisha baada ya siasa na siasa sio uadui.
Hilo ndiyo jukwaa lao mkuuSio rahisi uwakute johnthebaptist jitombashisho Kinuju YEHODAYA kipara kipya kwenye jukwaa la mapenzi
Huyuhapa mwingine...shida njaa ..weita reteeretee Nyamongo IMETEMAKuliko Pro-CHADEMA?
Chadema mmebaki wewe na Mbowe tu
Yule Bwana alipingana na ukweli halisi at the end ndio wenyewe,ccm inapendwa na police pekee sababu wanalindana kwenye kunufaikana.Wakachukua na Passport yake.....CCM ni kichaka cha Wahalifu
Hatari sana hao mabwana 🤣🤣🤣Angalia warusha matusi wengi hapa jukwaani ni pro chadema, tindo, Mmawia, bak, sexless, etc ndo ujue nani wako stressed zaidi.
Unamaanisha Watanzania wengi maisha yao ya kubahatisha? Si ndio eee?!!Hata maisha yao wengi wao yanakuwa ya kubahatisha tu
Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.
No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya hewa....yaani wamekaa kiugomvi ugomvi!
Hawajiamini, kama vile wana psychological disorder... Stress tu. Mnaongea issue za kawaida mwenzio anakuja na issue za Mbowe, chadema sijui CcM aaghr
Nasema uongo ndugu zangu? Kuna maisha baada ya siasa na siasa sio uadui.
Basi wewe utakuwa umepigwa ngumiHatari sana hao mabwana
Kwani hamjamaliza kuomboleza?mbna umeelezea upande wa pili vizuri sana maaana ni kama hawajaridhika na kifo cha mweshimiwa yule wanaandika article za kinachoendelea kuzimu, nadhan wanahitaji maji mengi warudi kawaida
Sio kila Mara ujitie ujuaji! Hilo neno "na" hukuliona? Anyway umejitahidi kuandika maandishi marefu bahati mbaya sisomagiKwa hiyo ANTI-SOCIAL BEHAVIOURS ndio STRESS ?!!! Khaaa 😳😳😳😳
Anti-social behaviour inahusisha yafuatayo:-
✓Physical aggression
✓Theft
✓Violation of societal rules
Maswali ni haya hapa......
Je PRO- CCM ni majambazi watumiao nguvu kupora ,kukaba ,kukwapua na kuumiza wengine ?!!!
Je Pro- CCM ni watu ambao wanaweza wakaingia na magongo ndani ya kumbi za starehe ,masoko ,maduka makubwa na kuzua taharuki kwa KUPIGA HALAIKI ,KUVUNJA VIOO ,SAMANI n.k?!!!
Je Pro-CCM hawadumu ndani ya MAHUSIANO YA MAPENZI ikiwemo ndoa kwa sababu ya kuwa watu wa vurugu(violent) ,walevi "mbwa" ,wasio na huruma ,subira wala simile?!!!
TAFITI YAKO IMEKAA KIHISIA TU 🤣🤣🤣
SIEMPRE CCM
Pro chadema yote ni full stress kuanzia Msigwa,Heche,Lema,Lissu nk.ukiongezea Bawacha yoote.Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.
No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya hewa....yaani wamekaa kiugomvi ugomvi!
Hawajiamini, kama vile wana psychological disorder... Stress tu. Mnaongea issue za kawaida mwenzio anakuja na issue za Mbowe, chadema sijui CcM aaghr
Nasema uongo ndugu zangu? Kuna maisha baada ya siasa na siasa sio uadui.
🤣🤣Sio kila Mara ujitie ujuaji! Hilo neno "na" hukuliona? Anyway umejitahidi kuandika maandishi marefu bahati mbaya sisomagi
Weweee, fala wa meza za kupanga wana CCM tupo hapa!Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.