Pro-CCM wengi ni Antisocial na wana Msongo mkubwa wa mawazo

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,513
2,000
Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.

No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya hewa....yaani wamekaa kiugomvi ugomvi!

Hawajiamini, kama vile wana psychological disorder... Stress tu. Mnaongea issue za kawaida mwenzio anakuja na issue za Mbowe, chadema sijui CcM aaghr

Nasema uongo ndugu zangu? Kuna maisha baada ya siasa na siasa sio uadui.
Akina kibajaji
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,814
2,000
Mbona iko kinyume?!!!

Hivi ndugu yetu MDUDE NYAGALI yukoje ?!!!!🤣🤣

Hakuna tabia ya AJABU kupata kuiona kama ile ya kujivika hulka ya KUPINGAPINGA.....yaani kila la mwenzako ni HOVYO....yaani kila la mwingine limekaa TENGE.....yaani hii ndio tabia inayowakusanya pamoja vijana wa BAVICHA NA CHADEMA yao.....

Pingapinga FC huendeshwa "kimsukule"....🤣🤣
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,814
2,000
Kwa hiyo ANTI-SOCIAL BEHAVIOURS ndio STRESS ?!!! Khaaa 😳😳😳😳

Anti-social behaviour inahusisha yafuatayo:-

✓Physical aggression
✓Theft
✓Violation of societal rules

Maswali ni haya hapa......

Je PRO- CCM ni majambazi watumiao nguvu kupora ,kukaba ,kukwapua na kuumiza wengine ?!!!

Je Pro- CCM ni watu ambao wanaweza wakaingia na magongo ndani ya kumbi za starehe ,masoko ,maduka makubwa na kuzua taharuki kwa KUPIGA HALAIKI ,KUVUNJA VIOO ,SAMANI n.k?!!!

Je Pro-CCM hawadumu ndani ya MAHUSIANO YA MAPENZI ikiwemo ndoa kwa sababu ya kuwa watu wa vurugu(violent) ,walevi "mbwa" ,wasio na huruma ,subira wala simile?!!!

TAFITI YAKO IMEKAA KIHISIA TU 🤣🤣🤣

SIEMPRE CCM
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,441
2,000
Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.

No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya hewa....yaani wamekaa kiugomvi ugomvi!

Hawajiamini, kama vile wana psychological disorder... Stress tu. Mnaongea issue za kawaida mwenzio anakuja na issue za Mbowe, chadema sijui CcM aaghr

Nasema uongo ndugu zangu? Kuna maisha baada ya siasa na siasa sio uadui.

mbna umeelezea upande wa pili vizuri sana maaana ni kama hawajaridhika na kifo cha mweshimiwa yule wanaandika article za kinachoendelea kuzimu, nadhan wanahitaji maji mengi warudi kawaida
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,186
2,000
mbna umeelezea upande wa pili vizuri sana maaana ni kama hawajaridhika na kifo cha mweshimiwa yule wanaandika article za kinachoendelea kuzimu, nadhan wanahitaji maji mengi warudi kawaida
Kwani hamjamaliza kuomboleza?
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,370
2,000
mbna umeelezea upande wa pili vizuri sana maaana ni kama hawajaridhika na kifo cha mweshimiwa yule wanaandika article za kinachoendelea kuzimu, nadhan wanahitaji maji mengi warudi kawaida
Hahahahaah hawaamini bado!
 
Bwana PGO

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
45,370
2,000
Kwa hiyo ANTI-SOCIAL BEHAVIOURS ndio STRESS ?!!! Khaaa 😳😳😳😳

Anti-social behaviour inahusisha yafuatayo:-

✓Physical aggression
✓Theft
✓Violation of societal rules

Maswali ni haya hapa......

Je PRO- CCM ni majambazi watumiao nguvu kupora ,kukaba ,kukwapua na kuumiza wengine ?!!!

Je Pro- CCM ni watu ambao wanaweza wakaingia na magongo ndani ya kumbi za starehe ,masoko ,maduka makubwa na kuzua taharuki kwa KUPIGA HALAIKI ,KUVUNJA VIOO ,SAMANI n.k?!!!

Je Pro-CCM hawadumu ndani ya MAHUSIANO YA MAPENZI ikiwemo ndoa kwa sababu ya kuwa watu wa vurugu(violent) ,walevi "mbwa" ,wasio na huruma ,subira wala simile?!!!

TAFITI YAKO IMEKAA KIHISIA TU 🤣🤣🤣

SIEMPRE CCM
Sio kila Mara ujitie ujuaji! Hilo neno "na" hukuliona? Anyway umejitahidi kuandika maandishi marefu bahati mbaya sisomagi
 
Janja weed

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
1,342
2,000
Teuzi zimesiha ndugu , yani mtu mwenye akili timamu kabisa ashabikie uovu wa mifiisiiemu? utakua na matatizo klidogo mleta mada, kalime tu hata kama kuna kiangazi huenda mvua ikanyesha siku ukapata hata mboga, unafiki ni dhambi moja ya ajabu sana ndugu
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
800
1,000
Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi.

No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya hewa....yaani wamekaa kiugomvi ugomvi!

Hawajiamini, kama vile wana psychological disorder... Stress tu. Mnaongea issue za kawaida mwenzio anakuja na issue za Mbowe, chadema sijui CcM aaghr

Nasema uongo ndugu zangu? Kuna maisha baada ya siasa na siasa sio uadui.
Pro chadema yote ni full stress kuanzia Msigwa,Heche,Lema,Lissu nk.ukiongezea Bawacha yoote.

Sugu na Proffesa J wao hawana stress maana wana vyanzo vya mapato.
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,814
2,000
Sio kila Mara ujitie ujuaji! Hilo neno "na" hukuliona? Anyway umejitahidi kuandika maandishi marefu bahati mbaya sisomagi
🤣🤣
Nimekukumbusha maana ya ANTI-SOCIAL bado umeng'ang'ana na kuniita mjuaji.....🤣

Ok relax mkuu......

Umeandika anti-social ni kukaa "kiugomviugomvi"....umeandika anti-social ni "kutojiamini"....si kweli anti-social ni WAGOMVI(physical violent) na wanajiamini sana na ndio maana kufanya vurugu hadharani kwao si Jambo la ajabu.... anti-social wengi huishia MAGEREZANI.....

Tatizo lako umetafsiri anti-social KISWAHILI....

"Mjuaji "naishia hapa na hii comment USIISOME pia 🤣🤣🤣

SIEMPRE CCM
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom