Private employees, how do you manage life with the unexpected unpaid leave?

Maleven

Member
Sep 8, 2019
45
150
Tomorrow is not promised, sure i didn't understand this until I signed unpaid leave due to COVID-19. A lot of plans flown away, this is the time that I wish I could be just a farmer in the remote village.

I know this didn't affect a one person or a single company but it's too hard to go through this.

#seif-employment+mode+activated
 
Prince Kunta

JF-Expert Member
Mar 27, 2014
16,968
2,000
Mkuu inamana hicho kiingereza hakijakusaidia kabisa kufanisha kulipwa katika likizo???

Pole sana
 
victory02

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
462
1,000
Kwangu binafsi nimetokea kuchukia sana ajira. Japokuwa nchi haikuwa kwenye lockdown nimejikuta niko lockdown bila kujijua. Ajira zinatutia ulemavu ndugu zangu,tuwe makini sana,nimejikuta natamani hata maisha ya waendesha boda boda
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,359
2,000
Tomorrow is not promised, sure i didn't understand this until I signed unpaid leave due to COVID-19. A lot of plans flown away, this is the time that I wish I could be just a farmer in the remote village.

I know this didn't affect a one person or a single company but it's too hard to go through this.

#seif-employment+mode+activated
Wanapambana kibishi mtaani
 
Ahmad Abdurahman

JF-Expert Member
Mar 5, 2016
1,511
2,000
Cha kwanza saving, cha pili wekeza, cha tatu oa, cha nne sali, cha tano wapende wazazi wako, cha sita nitumie buku.

Utaishi kwa aman sana.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom