PRIVATE CAR cum IMMOVABLE PROPERTY SALESMAN

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
MY name is kitomai. I am a private car salesman cum private property salesman who resides in Dar es Salaam . My duty is to help people sell or buy vehicles or immovable property i.e plots, houses,etc in the city.If you are in need to sell or buy a car, a house or rent a house buy through me or suggest it to your friends or relatives to buy through me. If they buy through your referral, I will share with you the commission have been paid to me. Contact me through this no. 0717114409.When reply, you can use Kiswahili language as well. Thank you.
 
Mkuu;

Ni biashara yako halali kwa maana ya kuwa imeandikishwa au ni ya mfukoni?
 
Please eleza kama umeandikishwa kwa maana ya kuwa na registered office, kampuni, unayo TIN number n.k

Kama ni biashara unafanyia kwenye briefcase, eleza pia. Tunataka kujua ni mtu wa aina gani tutakuwa tunafanya biashara naye kabla ya kupeleka jina na number yako ya simu kwa wenzetu walio nje ya hii forum.

Tiba
 
MY name is kitomai. I am a private car salesman cum private property salesman who resides in Dar es Salaam . My duty is to help people sell or buy vehicles or immovable property i.e plots, houses,etc in the city.If you are in need to sell or buy a car, a house or rent a house buy through me or suggest it to your friends or relatives to buy through me. If they buy through your referral, I will share with you the commission have been paid to me. Contact me through this no. 0717114409.When reply, you can use Kiswahili language as well. Thank you.

Mode ni kweli kabisa kwamba umeruhusu JF kuwa ukurasa wa matangazo ya biashara?AU ndo upashanaji habari wenyewe?Nachelea kuamini endapo JF itaruhusu hali kama hii basi lengo halisi la kuanzishwa kwake litakuwa limebadilika.Hebu fikiri katika hali ya kawaida kila mchangiaji ndani ya Forum akatoka na katangazo kake,Nauza viatu,Nauza computer,nanunua vipuri vichakavu nk?????Itakuwaje????
 
Acha unoko wewe tatizo lako nini iwapo kila mchangiaji ataweka katangazo kake..aaaaaaggghhhhhhhhrrrrrrrr!!!!!!!!!!!
 
Mode ni kweli kabisa kwamba umeruhusu JF kuwa ukurasa wa matangazo ya biashara?AU ndo upashanaji habari wenyewe?Nachelea kuamini endapo JF itaruhusu hali kama hii basi lengo halisi la kuanzishwa kwake litakuwa limebadilika.Hebu fikiri katika hali ya kawaida kila mchangiaji ndani ya Forum akatoka na katangazo kake,Nauza viatu,Nauza computer,nanunua vipuri vichakavu nk?????Itakuwaje????

Sasa wewe unategeme huku kwenye matangazo madogo madogo utakuta ujumbe gani.....politics, mambo ya kikubwa au vipi? Hapa JF kila kitu na muhimu kwa faida ya JF mkuu!

BWT....post yako ilitakiwa upeleke kny complaints bro!
 
A kompleni kitu gani anawafanya walioanzisha jukwaa la matangazo machizi, yeye ndio inabidi nika bonyeze kale kakitufe ka kuripoti posti yake kwa kuwadharirisha mods.
 
Burn, nilichomaanisha...kama Kiroroma amekerwa na tangazo la biashara hapa ....basi aende kule kwenye complaints akaweke huko malalamiko yake kwamba watu wasiweke matangazo ya biashara i.e mods waondoe jukwaa la matangazo!
 
Washahili bwana kwa kukatishana tamaa ndio wenyewe,kwani mtu akitoa tangazo tatizo liko wapi ,hujui kuwa wengi husoma hii site kwa ajili ya kuelimishana na pia kujua mwenzangu ana nini ,wengi JF imetusidia kupata vitu kwa urahisi,jamani tuache roho ya kwanini ,tusaidiane ,pale kwenye mema tutoe suport,usipomsaidia mswahili mwenzako utamsaidia nani/tuache UFISADI WA MAWAZO,TUWA ENCOURAGE WATU KU- GROW UP
 
Biashara yangu ni ya hakika.

Kama ni hakika toa physical address yako hapa na njia zako zote za mawasiliano bila kusahau website tuone shughuli unazozifanya. Matapeli wengi jijini, hasa kwenye biashara kama hizi.

Mode ni kweli kabisa kwamba umeruhusu JF kuwa ukurasa wa matangazo ya biashara?AU ndo upashanaji habari wenyewe?Nachelea kuamini endapo JF itaruhusu hali kama hii basi lengo halisi la kuanzishwa kwake litakuwa limebadilika.Hebu fikiri katika hali ya kawaida kila mchangiaji ndani ya Forum akatoka na katangazo kake,Nauza viatu,Nauza computer,nanunua vipuri vichakavu nk?????Itakuwaje????
Mr Kiroroma.
Nadhani mpaka sasa wanajamii wamekuelimisha kiasi cha kutosha. Tumia vizuri uhuru wako wa kutoa maoni. Hivyo vijitangazo kuna watu wamenufaika navyo hasa hao waliopo nje ya nchi. Mimi mwenyewe yaninanisaidia sana kuendesha maisha yangu ya kila siku. Sijaajiriwa na kampuni fulani ajira ya kudumu huwa naajiriwa na hao wanaosoma hayo matangazo madogo kwa misingi ya ajira za muda mufupi, ajira inaanzia pale ninapopewa kitu cha kuuza na ina koma pale nipopata mnunuzi wa hiyo bidhaa. Naona dhana ya ujasiriamali kwako haifahaamiki vizuri, we mwenzetu fani yako nini, karani au ?.
 
kaka dalali tumekuelewa vizuri kuwa wewe ni mjasiriamali na unajitangaza hapa JF lakini hili la kumuuliza mwenzio kazi yake nini naona unapoteza mwelekeo na uanaanza kutusi makarani kama sie hapa....cha msingi naomba ujibu maswali uloulizwa hapo juu na wajumbe waliomakini na wanaodhani wanahitaji watu makini kufanya nao kazi hasa biashara kama yako
1- wewe una kampuni na imesajiliwa ?
2- physical address yako ni wapi?..i.e. ya hiyo kampuni yako
3- nini tofauti yako na hao madalali wengine matapeli na wanaouza vitu au mashamba kwa ateja 10 hadi 20 na kuwaachia ugomvi mkubwa na upotevu wa pesa
3- kama umeamua kuwa mjasiriamali wa kweli mpaka kuja hapa JF kujitangaza elewa aina ya watu unaowapelekea ujumbe...toa detailed information za unachokifanya na contacts ziwe za kueleweka...vitu kama email address, simu, fax, na office locations plus reliable referals.

ni maoni tuu..we dare to talk openly
 
Back
Top Bottom