Private candidate

Richardbr

Senior Member
May 29, 2011
110
25
Wapendwa nishaurini,

Huyu nijamaa yangu amemaliza mtihani wa form four na anauhakika wa kufanya vizuri ila kwasababu ya majukumu anataka kupumzika kwanza yaani anataka kwenda chuo chochote ili aweze kupata ajira then badae aendelee na masomo ya A Level ila tatizo nikwamba hajui aende chuo gani.

Ushauri wenu tafadhali.

Aksanteni
 
Mkuu, Pitia Tena Andiko Lako Nadhani Kama Kunamakosa Kidogo Ktk Maelezo Yako.
 
aende tu college yoyote. Kwani kazi hiyo ambayo anauhakika wa kupata ni kazi gani? kama ni business related aende ka college ka Business administration, kama ni ka salon aende masomo ya salon. Kama ni hotel aende hotel management etc.
 
asubiri matokeo,baada ya hapo aende depo ili ajiunge na jeshi la la polisi
 
Back
Top Bottom