Prison Break vs Money Heist

Prison Break 2005 Ni series ya kwanza kwa baadhi ya watazamaji wengi, kwa maneno rahisi ni series iliyowavunja u virgin wa kuangalia series hivyo itabaki kuwa pendwa kwa baadhi ya watu hata useme nini hawatakuelewa. Story line ni nzuri sana, uhusika umekaa mahala pake, licha ya kuwa kipindi kile hakukua na teknolojia kubwa kama sasa waliweza kuiweka vyema ikapendeza. . (BTW nairudia sasa kwa mara ya pili tangu niione mwaka 2006). Tukija Upande wa Lacasa De Papel,series imeundwa ikaundika, uhusika umekua mzuri, story line pia njema na tumeona teknolojia kubwa kidogo ukilinganisha na prison break seasons za mwanzo. Zote Mbili zime base katika mandhari moja kwa muda ambayo haichoshi kuitazama, Prison Break Gerezani sana na Lacasa De Papel in the royal mint.
NASIMAMA NA PRISON BREAK kwa sababu licha ya kuwa na teknolojia ndogo kwa wakati ule waliweza kutengeneza kitu bora ambacho unaweza kulinganisha na series zilizotengenezwa wakati huu.
 
Prison break ni kitu kingine aise pale akili ilitumika. Money heist kuna muda story zinakuwa nyingi nakupoteza uzuri wake.
 
Nimeangalia prison break lakin pia nimeangalia money heist...
Hizi zote ni series bora kwangu, japo prison break ni bora kuliko money heist, nimependa akili za washiriki katika prison break ( Michael) ila profesa wa money heist pia ametumia akili sana...

Mpaka sasa hii ndo tatu bora yangu
1.Prison break
2.Money heist
3. The ship
 
Daah ndio nimemaliza s4 ep19. Ngoja nikamalizie kipande cha 20 then nilale. Imagine nimeanza kuingalia toka 2012 ila haijanikifu!
 
Nimezitazama zote Ila nikiondoa Season 5 ya Prison Break naona kabisa level zake sio za kucompare na hao Waspanish.

Kwangu naona kuindeleza Prison break ilikuwa ni move ya ajabu sana FOX(maoni yangu) waliifanya ni kama kuindeleza TITANIC.

hii kitu siyo ya kucompare na money heist



tenor.gif
giphy.gif
giphy.gif
GaseousLividIndigowingedparrot-size_restricted.gif

tumblr_ma4ot30Okf1ql6ycyo1_250.gif
source.gif
.
8b1e0a275a66b3f9939ecb41f7ad4903.jpg
 
Hujaitendea haki PB kuilinganisha na Money Heist. PB ni balaa jingine.

So far my best series:
1. Prison Break (nimeirudia zaidi ya 10 times)
2. Lost (nimeirudia zaidi ya 6 times,currently nairudia nipo season 4)
3. Revolution (niliumia sana haikuisha)
4. Person of Interest
5. Grim
Mkuu kama umeangalia LOST uko vizuri
 
Hujaitendea haki PB kuilinganisha na Money Heist. PB ni balaa jingine.

So far my best series:
1. Prison Break (nimeirudia zaidi ya 10 times)
2. Lost (nimeirudia zaidi ya 6 times,currently nairudia nipo season 4)
3. Revolution (niliumia sana haikuisha)
4. Person of Interest
5. Grim
Revolution dah moja ya series kali sana nilipenda idea ya ile series..
 
nimeangalia Money Heist ni takataka kwa inaboa sana haivutiii ....mission ni kukaa benki tu!!! hamna kitu hapo..... ni aibu kubwa tena ya karne eti kuilinganisha Money heist na Prison Break
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom