Prison Break vs Money Heist

Profesa ameAct vizuri sana kwenye muvi yake. Money heist ni moja ya movie kali sana, lakini bado huwezi kufananisha uwezo wa Prof na Scofied. Scofied yupo na uwezo mkubwa zaidi.

Movie ya Prof kwanza inapofika season ya 3 tu,uwendo umeshaanza kupungua, sipati picha ikija hiyo season 4 itakuwaje, natabiri itakuwa inapoa sana.

Michael full season, sita sijui tano,zote kali. Prof bado anasubiri sana kwa michael, prof mipango yake yote inakamilika, hana hata mpango mmoja unaobuma kitu ambacho kwenye maisha ya kawaida hakuna. Ila michael tumeona mipango mingine imebuma and akatafuta plan b haraka haraka mambo yanaenda,hii imesaidia sana kunogesha movie na kuendelea kuipa uhai ya reality.
 
Profesa alikuwa anahitaji huruma sana za watu na misheni zingine zilikuwa zinatokea tu boom hata mipango huioni yani ghaflaa...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom