Somehow...!! Nothing special sana pale japo Kuna scenario aisee Professor ana balaaMoney heist is overrated
Kind of... Wazungu wameamua kuipa promoMoney heist is overrated
Basi tumetofautian24 naachaje kuiona..!! Wewe utakuwa mtu wa kwanza kuicomment pia.. Kwenye list ya series kali 24 utaikuta mara chache sana
Breaking bad ni nzuri mkuu Mr white nimeiona mwanzo mwisho ina balaa
Yaah mkuu...!! Kila mtu na anachokipenda me kwenye list nakuta mtu kaweka series kama jumongnabaki sielewiBasi tumetofautian
Hata Kama MzeeUna mind mwenzio ana-make bingo! In form of Dollar $
katika best historic drama basi Jumong nayo imo. Ila kiujasusi HapanaYaah mkuu...!! Kila mtu na anachokipenda me kwenye list nakuta mtu kaweka series kama jumongnabaki sielewi
But they are only Acting. Sasa mle ni ushoga wa maneno I guess hujaona Spartacus zote 4Hata Kama Mzee
Hata kama ..... Mi acha nipate dolali zangu hizi chache nikitaka kucheki game lolote la liva ntaenda uwanjani nikitaka kula chochote ntakula nkitaka gari lolote la bei ya wastani ntachukua
Ila sio kupumuliwa mzee sio kabisa
Kwa kutumia akili zaidi PB inaongoza ila kwa matukio yenye kusisimua Lacasa La casa de papel ni the best. Yaani una feel kabisa uchungu wa tukio. Ref Kifo cha Berlin
Hope hujaona 24hrs
Taja mkoa ulipo kama nami nipo hapo nitakuletea PB zote na Money heist zote. Ni za Heist... heist ni mpango wa kutumia akili zaidiHiyo ni ya kivita, ngumi, karate, comfuu au love stories Bosi?
tatzo lugha kaka kispanyolKama umeipenda prison break itafute na hiyo utainjoy saa
Ujasusi.. jinsi Tiss wanavyokesha kuhakikisha wananchi wanakua salama kutoka kwa MagaidiHiyo ni ya kivita, ngumi, karate, comfuu au love stories Bosi?
Yaah mkuu...!! Kila mtu na anachokipenda me kwenye list nakuta mtu kaweka series kama jumongnabaki sielewi
Noma sana kila mtu na anachokipenda lakini kuna best inayopendwa na watu wengi...Hata mimi hiyo Jumong naifananisha na Sultan tu wala sioni lolote jipya
Nenda google andika lightdownload. Hii ni direct downloads sio kama torrent sitesNaombeni link ya kudownload series free.
Hiyo PB siipendi hata kuisikia na kama hiyo money heist inafanana na PB ni bora hata usihangaike kabisa kuniletea.Taja mkoa ulipo kama nami nipo hapo nitakuletea PB zote na Money heist zote. Ni za Heist... heist ni mpango wa kutumia akili zaidi
breaking bad umeiona?