Prison Break vs Money Heist

Mwananchi hewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
226
273
Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyosema

Ipi series nzuri hapo juu kuanzia uhusika mpaka series yenyewe ipi ni nzuri hasa zaidi tukiwazungumzia wahusika wakuu PRISON BREAK unamkuta Michael Scorfield na huku katika Money Heist unamkuta Sergio Marquina au Profesa

Japo kila mtu alikuwa na mission tofauti mmoja alikuwa anataka kutoroka katika magereza yenye ulinzi mkali kwa Prison Break na wa Money Heist alikuwa anacheza na askari kibao ili aweze kubaki mule ndani ili aweze kuendelea kutengeneza na afanikiwe kuwakimbia

Prison Break kuna kina Mahone,T~Bag,Sara na wengine.

Money Heist kuna kina Berlin,Moscow,Tokyo,Rio na Demu ninayempenda namsubiri aje bongo nimtongoze Nairobi.

Hakikisha umeangalia zote vizuri ila Money Heist hata ukiishia season ya pili.

N:B Muda mwingine tufurahie kwa kujadili vitu vyepesi na siyo kujiumiza kwa siasa za Tanzania zisizoeleweka
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom