G.25
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 1,709
- 1,806
Samahani Coco we ni MTU wawapi? Halafu naomba unisomee ulichoandika, sijaelewa"Alisema kabla hilo ndilo atapenda kuona linafanyika na aliongelea juu ya Chunya yeye na PM. So mpango wanao na labda pesa ndio hizo watatumia, natumaini kiasi umetaja walipojenga cha huko ndicho ambacho kinaendana na sasa.. la sivyo itabidi wasubiri hadi lini kupata zaidi au waendeleze mengine tu.