antanarivo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 448
- 870
Ni printer Mpya Kabsa haijawahi kutumika utaanza kuifungua wewe mwenyew mm niliagiza so zikaja mbili mfululizo na niliagiza kwa bei ya jumla na dukani inauzwa 1250000 hadi 1200000
Kazi yake
Ina print
Inatoa copy high quality coloured na black and white
Ina scan
Inatoa picha za simu na camera
Passport size
Haimalizi wino yaani hata kama unakazi nyingi ukinunua wino wa 22000 unapiga kazi mpaka unasema labda haitumii wino
Ina cd yake pia ni screen touch
Location dar es salaam