Principles za kufuata kwa mwanamke anayekutaka kimapenzi Gangster

Shombe la Kisomali

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
5,059
2,000
Wadau eeeh,

Binafsi katika maisha yangu ya ujana huu sipendi kabisa demu anielewe alafau ifikie kipindi me ndo naseducewa yaan demu yeyote awe mzuri, wa kawaida au mbaya napenda me nimtongoze na ndo kitu napenda REGARDLESS alianza kunipenda yeye ila kama me ndo nimemseduce IS Ok.

So kuna binti alionesha wazi kunikubali so siku moja akanitumia kikaratasi kupitia kwa washikaji wangu kachora MAKOPAKOPA anataka nimwandikie naomba then irudi kwake ile karatasi. So binafsi sikupenda, why asiniface yeye mwenyewe au asiandike yake aniletee kiheshima zaidi.. Nakumbuka niliandika namba 9 za mwanzo ili ya mwisho aangaikie mwenye, nilifanya hvyo makusudi kozi sikumaindi protocol aliyoitumia.

Siku zimepita lakini nakutananae tunasalimiana story kidogo ila hakuwahi kuniuliza mishe za namba tena.

But hivi karibuni naona uzalendo umemshinda na kaamua kuniomba mwenywe namba face to face.. Moyoni nikasema YES hii ndo protocol nataka.. So nikamwachia namba binti.

From here binti amekuwa na vilio vingi kwangu kuwa ananielewa Gangster..

Issue kubwa ni kuwa napatwa na ukakasi sana binti akianza kunitaka yeye yaan kitu sipendagi kabisa. Kwanini asisubiri mpaka nimtongoze kama namtaka na mimi.

Wadau eeehhh..!!!nipeni PRINCIPLES za kufuata kwa demu dizain kama hii. Aaah me napenda nitongoze mwenyewe bhana tena inaniongezea ujasiri kwa hawa mabinti hata nikikataliwa kila tongozo fresh tu ILA si demu aniAPPROACH mimi.
 

Mwalimu wa Zamu Tz

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
502
1,000
Iyo ni mikeka inakuchanganya ila kwa demu hainaga ugensta wala nn akikuelewa mnaelewana tu kama unaona so mkaushie miezi kadhaa aafu mtafte umpge sound mwnywe ila uyo anaonekana mtoto mambo za kitumiana vibarua
 

smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
2,537
2,000
Hao wanakuwaga mademu kimuonekano.maziwa.nywele bi dem lkn wana mishedede! Kabisaaa

Ukifika kule kulana utashangaa anakukula wewe ndo umevunja bikra yako utaliwa mpaka kiama.
Na kumuacha huwezi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom