Prince William Kutembelea Israel, Palestina Mara ya Kwanza

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,445
Prince-William-600x338.jpg
Prince William akiwa Jordan alikopokelewa na viongozi mbalimbali wa kiserikali na kifalme.


MAKAO makuu ya kifalme ya Uingereza yamesema mwanamfalme Prince William antarajiwa kufanya ziara ya kwanza katika nchi za Israel na Palestina.

Ziara hiyo ataifanya kutokana na uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo na familia za kifalme.
pr1.jpg

pr2.jpg


pr3.jpg

pr4.jpg
 
Back
Top Bottom