Prince William Hugs Someone in Kenya

'Princes' William alicheza mpira Kenya..........

880x495_cmsv2_1e1c9d7e-6469-57d9-9940-bcfba822f6c9-3348930.jpg

dims
 
Bora hata angeleta hii ya kucheza,kukumbatia mkenya sio habari ya kujivunia.

Yote hakuna tofauti na nyie kutuambia kwamba nchi yote mlishangaa kwa kuona William akisema 'jambo' kwa Kiswahili, hehehe yaani Afrika patamu.
 
Mwanaume mwenzio hawezi kumbatiwa unafurahi kutuarifu.we mkenya una matatizo gani???
 
Ukiona unataarifiwa habari za ovyo ujue anayekutaarifu kakuona ovyo hivyo inabidi akushushie kwenye level yako ya ovyo.
 
Basi tumeona mkey akihagiwa,amewakilisha wanaume wote kenya,kakumbatiwa kwa niaba yenu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom