Prince Fillip toka ukimbizi hadi Royal family UK. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prince Fillip toka ukimbizi hadi Royal family UK.

Discussion in 'International Forum' started by Candid Scope, Aug 16, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  Malkia Elizabeth wa Uingereza hakuna mwanaume yeyyote wa kumwangukia kuwa mume wake
  kati ya waingereza wote, ila huyu mzawa wa Ugiriki aliyekimbia nchi yake kisiasa pamoja na wazazi wake.

  Born Prince Philippos of Greece and Denmark, Philip fled Greece with his family when he was just 18 months old as the country was seized by political instability.
  An officer in Britain's Royal Navy during World War II, he had met Princess Elizabeth in 1939, but the couple did not marry until 1947.
  He had to give up his Greek and Danish titles and join the Church of England in order to marry the future queen, and his career was cut short by the death of king George VI in 1952, which brought Elizabeth to the throne.
  He once admitted the curtailment of his promising naval career was "disappointing", but said that "being married to the queen, it seemed to me that my first duty was to serve her in the best way I could".
  They have four children. The eldest is heir to the throne Prince Charles.
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145


  Anakufa? Mbona Mnaweka Historia yake kwenye Jukwaa la Siasa? Nilidhani nii ni pahali madhubuti ya siasa za Ndani ya Nchi

  Ya Tanganyika na kidogo Zanzibar? Sasa haya ya Historia ya Malkia wa Uingereza inatisha...

  Yuko tena hospitali kwa Ule Ule Ugojwa wa uzeeni wa Kibofu cha Mkojo - ni huo pia ulimsumbua Mzee Bob Makani?
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,769
  Likes Received: 6,092
  Trophy Points: 280
  Sasa hapo kaoa au kaolewa? Anyway, in short kilichokuwa kinatakiwa ni mbegu zake tu na sio kingine.
   
 4. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #4
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  We dudus mbona unahitimisha haraka mjadala? Hili la mbegu zake ungelimazia baadaye, wenyewe wakikusikia watakukomesha ubishi, maana sasa tunajua akina Charles si wa UK bali ni Wagiriki.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yuko hospitalini kwa matibabu, latika umri huu wa miaka 91 tusitegemee organic zote mwilini zifanye kazi kama alivyokuwa kijana akiwalea wajukuu wake akina Charles na kipindi cha hayati mkwe wake Diana.
   
 6. Gwamahala

  Gwamahala JF-Expert Member

  #6
  Aug 16, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 3,577
  Likes Received: 925
  Trophy Points: 280
  Duh...!
   
 7. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #7
  Aug 16, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Yeah... naelewa...
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG]

  Queen Ealizabeth kakabidhiwa kiti angali mdogo sana kiumri.
   
 9. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  nami nilikuwa sijui kuwa mume wa queen elizabeth ni mgiriki!kwa hiyo kama queen akifa akarithi mtoto wake ina maana waingereza watatawaliwa na mgiriki!hii kali!
   
 10. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ukweli ndio huo lakini waingereza hawako tayari kukiri hivyo.
   
 11. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Karibu nchi zote za Ulaya, mtoto anachukua utaifa wa mama au asili ya mama. Hii ni desturi na mila za wayahudi, huwezi kuwa myahudi kama mama yako si myahudi. Kwa hiyo watoto wa Queen ni waingereza kwa mujibu wa mila za kwao.
   
 12. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wazungu wote wa ulaya au baadhi tu?
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Aug 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Historia ya Royals wa Europe ni complex. Wengi wao ni ndugu ingekuwa huku Afrika kama familia moja tu. Dada yake Prince Philip ndio mke wa mfalme wa Spain (Queen Sophia).
   
 14. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Nasikia Queen Victoria alitumia mbinu za falme za Ulaya kuoleana hili wasiwe wanapigan vita, Victoria alikuwa na jamaa zake mpaka falme ya Kirusi kabla ya mapinduzi ya october 1917, falme (Czar) hiyo ilipo tiwa mbaroni na wana mapinduzi walihakikisha wanawahua familia nzima isije ikaingia madarakani tena.
   
 15. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hahaha, hata mfalme Suleman wa wayahudi alijitahidi kutumia busara na hekima yake kuoa wake kutoka mataifa ambayo yalikuwa na ugomvi nayo ili kuwatuliza, na ilizaa matunda kwani kipindi cha utawala wake hakukuwa na vita mara nyingi kama ilivyokuwa kwa watawala wengine. Mbinu nzuri.
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Hah hah itabidi nikaoe mwarabu wa Kizanzibari bana nikomeshe Uamusho,wansikia bwanaaa
   
 17. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ustaarabu wa wazungu tofauti mno wa wabantu, huku kwetu ni mahari tu baada ya hapo hatuna mpango tena.
   
Loading...