Prince Charles zaidi ya ukoloni na ushamba wa watawala wetu ana nini cha mno zaidi ya ushoga?

mpayukaji

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
940
349
Kwa walioona jinsi mwana wa malkia wa Uingereza, Charles alivyopokelewa ikulu watakubaliana nasi kuwa ukoloni bado upo. Hata hili la ushoga na rais Jakaya Kikwete kuamua kunyamaza si bure. Linaweza kupita kama uchafuzi wa mila kwa kisingizio cha kutangaza vita dhidi ya ukimwi. Kwanini hatukui na kujifunza kuwa wenzetu wanatuona mashoga kutokana na kushiriki ushoga wa kiuchumi? Nilitegemea angalau atupiwe jiwe moja kuonyesha kuwa tumeamka kumbe wapi!
 
siyo rahisi, funua pua uone! :tongue:
 
Huyu analindwa na serikali yako kwa gharama yoyote!
Usijaribishe kitu kwa huyu...Bora umchezee RitzOne!
 
Nafikiri ni zaidi ya ushamba, kuna uzumbukuku ndani yake.
Nilisema humu, simuoni wa kuukataa msaada wa Uingereza kwa vitendo ndani ya Ardhi ya Tanzania hasa kwa hawa mavasco DaGama, hakuna , na haitoatokea akawepo
.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom