Prince charles kuja na mashoga kudai haki zao tanzania keshokutwa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prince charles kuja na mashoga kudai haki zao tanzania keshokutwa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 6, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,610
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Habari zenye uhakika zinasema prince charles anatarajiwa kudhuru tanzania na katika moja ya msafara wake
  watakuwamo mashoga marufu huko uk wakisisitiza kudai haki zao baran africa..
  Kama hili litatokea kweli basi watanzania tujiandae kupambana na ushenzi hu mkubwa kuliko wauwaji wa gadafi
   
 2. W

  Wababa Senior Member

  #2
  Nov 6, 2011
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hauko serious, hapatatosha hapa.
   
 3. F

  FJM JF-Expert Member

  #3
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mbona hamkupambana na Komandoo kule Zanzibar. Na ni wanaume wangapi wanawageuza wake zao = tigo? Whiter than white? unafiki tu.
   
 4. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #4
  Nov 6, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hatutaki upuuzi wa kipopobawa Bongo
   
Loading...