Prince Bagenda anavyoibomoa New Habari

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Habari kutoka media house ya RA inathibitisha ule uvumi kwamba amepelekwa pale kama mhariri mkuu kuyaangamiza kabisa magazeti ya pale.

Alianza kwa kulifunga The African wiki iliyopita kwa kisingizio eti litakuwa regional paper. Sasa hivi ni zamu ya Mtanzania - katoa onyo kali kwamba lisiandike habari za kuibeba beba Chadema. Ingawa hajatamka waziwazi waraka huo unataka habari za CCM zilizo positive ndiyo ziandikwe.

Mwongozo huo uko katila waraka wake kwa mhariri wa Mtanzania Kulwa Karedia na wawili hao hawawivi kabisa.

Tangu Bagenda afike pale kumekuwa na wimbi la waandishi na wahariri kulihama gazeti. Siku alipjipojitambulisha kwa wafanyakazi aliahidi angelimaliza suala la malimbikizo ya mishahara ndani ya wiki mbili, sasa ni zaidi ya mwezi. hakuna dalili na mishahara iko nyuma kwa miezi 3.

Sasa hivi anaogopa kuitisha kikao chochote na wafanyakazi kwa hofu ya kuulizwa kuhusu ahadi yake hiyo.

Anachofanya ni kutpa waraka tu kuhusu mamna ya itendaji anaptaka.
 
Ni kweli kwa wiki nzima mfululizo gazeti limeandika habari chafu za CDM
 
Bagenda kazeeka akili na mwili kabla ya wakati, si shangai yeye kuwa kiongozi wa hovyo ila nawashangaa wanaompa majukumu yakuongoza taasisi ....
 
Kwa nini JK hajampa ukuu wa Wilaya watu kama hawa CCM inawahitaji wakasimamie utawala wao huko Wilayani. Poor Bagenda the Prince!
 
Nasikia analipigia debe gazeti la Jambo Leo lililohamishiwa pale bila kuja na budget yake yoyote.

CEO Bashe anataka kulifunga kwani haliuzi kwa sababu ya kuwa pro-CCM mno, lakini Bagenda anapinga, akipata sapoti ya RA.

Haitashangaza iwapo sasa hivi Mtanzania litafungwa na Jambo Leo kuwa badala yake pale New Habari.
 
Mambo hayo ya kusikitisha from the media house of one of the richest men in Tanzania!

Huyu mjamaa huwa hajali kabisa welfare ya wafanyakazi wake. Namshauri aiuzilie mbali kampuni ili Watz zaidi ya 100 waliopo pale waondokane na adha ya umasikini.

Naamini kabisa wako watu na hela zao wako tayari kuinumua kampuni hiyo.
 
Bagenda baada ya kufulia sana alikimbilia kwa jk akapewa pesa na vifaa kuanzisha gazeti la taifa tanzania likiwa ni mali ya jk na kumsafishia njia ya urais tena 2010. Hana jipya zaidi ya kutii maagizo ya jk na wenzie.
Kachoka vibaya anatunzwa na mkewe dr lilian wa muhimbiri na tracoma.
 
Kiboko ya Prince Bagenda ni Wilson Masilingi.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.
 
wana jf mwacheni Bagenda afanye alichotumwa,kwani tatizo c bagenda tatizo ni mmiliki wa kampuni ya NEW HABARI ,sasa kama hela hazijatoka kwa bosi wake nyie wafanyakazi mnataka yeye awalipe za kwake za mfukoni.
 
Kiboko ya Prince Bagenda ni Wilson Masilingi.

TUMBIRI wa JF,
P.O BOX - PM JF.

Mkuu umenena haswa.
Huyo ndo alimfanya bagenda afilisike kwa kujifanya anashindana naye kwenye ubunge. Bagenda aliuza mpaka nyumba na kila kitu kwa kuutafuta ubunge lakini alikwama kwa Masilingi. Ndo hapo akafilisika kabisa hoehae. Kwa kulipiza kisasi akaamua kuwa campaigne manager wa prof tibaijuka ili kumfanyizia masilingi.
 
Hivi waTZ wenzangu tutajifunza lini heshima ya kazi? Midomo yetu inazidi kuwa mirefu tu. Wewe utakuwa mfanyakazi wake na ni mjinga atakayeamini habari yako, kimsingi hufahi kuwa mwajiriwa, chunga sana utakuja kupoteza kazi na kubakia kupiga majungu tu.

Heshimuni kazi zenu, kazi ni heshima na inalinda utu wako. Acheni kuropoka ropoka tu tena unatumia resources ya mwajiri wako kumshambulia.

Trust me ukiendelea na mdomo huu utapoteza kazi
 
Habari kutoka media house ya RA inathibitisha ule uvumi kwamba amepelekwa pale kama mhariri mkuu kuyaangamiza kabisa magazeti ya pale.

Alianza kwa kulifunga The African wiki iliyopita kwa kisingizio eti litakuwa regional paper. Sasa hivi ni zamu ya Mtanzania - katoa onyo kali kwamba lisiandike habari za kuibeba beba Chadema. Ingawa hajatamka waziwazi waraka huo unataka habari za CCM zilizo positive ndiyo ziandikwe.

Mwongozo huo uko katila waraka wake kwa mhariri wa Mtanzania Kulwa Karedia na wawili hao hawawivi kabisa.

Tangu Bagenda afike pale kumekuwa na wimbi la waandishi na wahariri kulihama gazeti. Siku alipjipojitambulisha kwa wafanyakazi aliahidi angelimaliza suala la malimbikizo ya mishahara ndani ya wiki mbili, sasa ni zaidi ya mwezi. hakuna dalili na mishahara iko nyuma kwa miezi 3.

Sasa hivi anaogopa kuitisha kikao chochote na wafanyakazi kwa hofu ya kuulizwa kuhusu ahadi yake hiyo.

Anachofanya ni kutpa waraka tu kuhusu mamna ya itendaji anaptaka.

Mkuu Huyu Jamaa ni mdogo wake Manyerere?????
Amekuwaje mhariri ilihali shule nasikia hana kabisa?
Kimsingi Hiyo kampuni ilishakufa tangu Ulimwengu ajitoe
magazeti yake mtaani kwetu hata ukimzawadia mtu hataki kabisa
twasubiri soon itabidi wafunge tu biashara
 
wana jf mwacheni Bagenda afanye alichotumwa,kwani tatizo c bagenda tatizo ni mmiliki wa kampuni ya NEW HABARI ,sasa kama hela hazijatoka kwa bosi wake nyie wafanyakazi mnataka yeye awalipe za kwake za mfukoni.

main point ya huu uzi sio mishahara,.umekurupuka
 
Mkuu Huyu Jamaa ni mdogo wake Manyerere?????
Amekuwaje mhariri ilihali shule nasikia hana kabisa?
Kimsingi Hiyo kampuni ilishakufa tangu Ulimwengu ajitoe
magazeti yake mtaani kwetu hata ukimzawadia mtu hataki kabisa
twasubiri soon itabidi wafunge tu biashara

kweli ni mdogo wa manyerere wa JAMHURI newspaper
 
Hv Bagenda kakumbwa na nini?
Si alikuwa miongoni mwa founders wa
"The National Committee for Constutional Reform?"
alias NCCR!
Ni njaa tu au jingne?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom