Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 233
Habari kutoka media house ya RA inathibitisha ule uvumi kwamba amepelekwa pale kama mhariri mkuu kuyaangamiza kabisa magazeti ya pale.
Alianza kwa kulifunga The African wiki iliyopita kwa kisingizio eti litakuwa regional paper. Sasa hivi ni zamu ya Mtanzania - katoa onyo kali kwamba lisiandike habari za kuibeba beba Chadema. Ingawa hajatamka waziwazi waraka huo unataka habari za CCM zilizo positive ndiyo ziandikwe.
Mwongozo huo uko katila waraka wake kwa mhariri wa Mtanzania Kulwa Karedia na wawili hao hawawivi kabisa.
Tangu Bagenda afike pale kumekuwa na wimbi la waandishi na wahariri kulihama gazeti. Siku alipjipojitambulisha kwa wafanyakazi aliahidi angelimaliza suala la malimbikizo ya mishahara ndani ya wiki mbili, sasa ni zaidi ya mwezi. hakuna dalili na mishahara iko nyuma kwa miezi 3.
Sasa hivi anaogopa kuitisha kikao chochote na wafanyakazi kwa hofu ya kuulizwa kuhusu ahadi yake hiyo.
Anachofanya ni kutpa waraka tu kuhusu mamna ya itendaji anaptaka.