Prince Bagenda anavyoibomoa New Habari

toka 2007 aliposajili gazeti la taifa tanzania mali ya nazir karamagi

Na hilo gazeti lilikuwa halifati kabisa maadili, lilikuwa linatoa habari za upande mmoja tu wa kumtetea fisadi Karamagi bila ya kubalance story. Bagenda siyo mwandishi kamwe, ni mnafiki na mtu wa intrigues tu.
 
Kwa nini Bagenda ni mtu wa kufai tu.Always he is the failure person.Kitu kibaya ni kwamba hajajitambua na uzee unavyomkamata ndivyo atendelea kushindwa maana anakubali kutumika na kutumiwa na waovu kama condom​
 
Mkuu umenena haswa.
Huyo ndo alimfanya bagenda afilisike kwa kujifanya anashindana naye kwenye ubunge. Bagenda aliuza mpaka nyumba na kila kitu kwa kuutafuta ubunge lakini alikwama kwa Masilingi. Ndo hapo akafilisika kabisa hoehae. Kwa kulipiza kisasi akaamua kuwa campaigne manager wa prof tibaijuka ili kumfanyizia masilingi.
Sasa kama Prince Bagenda alikuwa ndio mpambe wa prof. Tibaijuka ( mama mboga) itakuwaje afulie na huyo mama mboga anajulikana kuwa ana mkwanja mrefu?
 
Back
Top Bottom