Prince Andrew and Virginia Giuffre reach settlement over sexual abuse claim

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,166
1644942162705.jpeg

Prince Andrew has reached a settlement with Virginia Giuffre who accused him of raping her as a child, it has been revealed.

Court documents, filed in Manhattan on Tuesday, reveal that a settlement was agreed upon by both parties with the Queen’s son paying an undisclosed amount to Ms Giuffre as well as making a donation to a charity “in support of victims’ rights”.

More: Prince Andrew and Virginia Giuffre reach settlement over sexual abuse claim
 
This has removed all the doubts. Now media are going to eat him alive!
 
Kwa maamuzi haya atasimamia kisigino
Kakubali kosa
Akili ni nywele kila mtu ana zake
Hakuliona hili ngoja tuone....
 
This has removed all the doubts. Now media are going to eat him alive!
Doubts zipi mzee?

Amshukuru mama yake amempa hizo pesa afute hio aibu kwa familia ya kifalme.

Na kwa kuwa hiyo si fedha ya walipa kodi basi imetoka mfukoni kwa mama yake.

Pia, bibi asingependa kuona mwanae aenda jela na pengine wasionane tena.
 
Kwa maamuzi haya atasimamia kisigino
Kakubali kosa
Akili ni nywele kila mtu ana zake
Hakuliona hili ngoja tuone....
Hiyo ni ndoano na yeye kanasa. Subiri uone wengine watakavyo jitokeza na kumfunga!!
 
Doubts zipi mzee?

Amshukuru mama yake amempa hizo pesa afute hio aibu kwa familia ya kifalme.
Prince Andrew alikuwa ana deny kuhusu rape na kuna watu kiasi fulani nilimwamwini. Walikuwa wana suspect maybe Virginia was after money and fame!
 
Doubts zipi mzee?

Amshukuru mama yake amempa hizo pesa afute hio aibu kwa familia ya kifalme.

Na kwa kuwa hiyo si fedha ya walipa kodi basi imetoka mfukoni kwa mama yake.

Pia, bibi asingependa kuona mwanae aenda jela na pengine wasionane tena.
Nina hisi huu ni ujanja na Virginia hayupo mwenyewe. Lazima kuna wengine watajitokeza sasa na itakuwa rahisi kwa sababu ameshakiri kosa.

Lakini pia nina hisi wamelipa faini halafu wamwondoe au yeye mwenyewe ajiondoe kama rafiki yake Epstein kuwafichia aibu wengine.

Hii group ni kubwa
 
Soma tena hiyo story Prince Andrew ametoa hizo pesa lakini hajakiri kosa.

Hiyo ni mbinu ya kisheria kuzuia madai mengine mapya.
 
Soma tena hiyo story Prince Andrew ametoa hizo pesa lakini hajakiri kosa.

Hiyo ni mbinu ya kisheria kuzuia madai mengine mapya.
How inakuwa mbinu kuzuia madai mengine au mimi ndio sielewi
Mbona ni kama amekubali kosa hata kama hajatamka au kukiri kosa
Let's wait n see
 
How inakuwa mbinu kuzuia madai mengine au mimi ndio sielewi
Mbona ni kama amekubali kosa hata kama hajatamka au kukiri kosa
Let's wait n see
Hajakiri kosa (kujishirikisha na mtu ambae alikuwa akiwadhalilisha kingono wasichana wadogo pamoja na Geuffre)

Akifanya hivyo (kukiri kosa na kuandikwa kwenye rekodi za mahakamani) ataleta uwezekano wa wasichana wengine kuleta madai mahakamani.

Ndo maana wanafanya "out of court settlement" na inasemwa ni 12M ambazo ametoa mama yake.

Ukumbuke Malkia Elizabeth II anatimiza miaka 70 ya kukalia kiti cha umalkia mwezi June mwaka huu, sherehe iitwayo "Platinum Jubilee".

Hivyo mama hataki sherehe zigubikwe na masuala ya mahakamani na uwezekano wa mwanae kuwa "convicted" na kwenda jela.
 
Back
Top Bottom