Prime Plots For Sale in Ununio-Kunduchi

ExpertBroker

JF-Expert Member
Jun 1, 2009
454
107
Three adjacent plots located in the beautiful prime location of Ununio beach in Kunduchi area about 500m from the sandy beach, are up for sale.

Plot one is measuring 1748 Square metres

Plot two is measuring 1772 Square metres

Plot three is measuring 2770 Square metres

These are corner plots located between a old Bagamoyo road to Boko Inn which are about to be constructed at tarmac level soon.

The Plots are very ideal for developing apartments units for sale or subdividing and resell as plots.

You must see these plots with all the documents in place and they are free from any encumbraces.

The three plots are sold altogether at Tshs 200Million subject to negotiation.
 
Nimekuelewa wasema kwamba viwanja vyote ni Shs 200 millioni. Mimi nataka kimoja tu cha kwenye kona ni bei gani, au ndiyo wastani Shs 66.7 millioni pungufu unaongea??
 
Mama mdogo,

Sasa utafanyaje wastani wakati kile kimoja ni almost mara mbili? Ushauri chukua kile cha 2770sqm kwa 90M then unakigawa/subdivide into 900sqm each, you get three plots! I can assure you, Hutafika mwezi wa sita kila plot itakuwa inasimamia around 50M!! Upo hapo? That's how crazy it is with the property market in Dar!
 
Asante kwa ufafanuzi. Kwa kuwa weekend nakuja Dar nitakutafuta ukanionyeshe hizo plot nifanye tathmini, kuamua na kuchagua MOJA nitakayoipenda. Alhamisi au Ijumaa nitakutumia PM tupange namna ya kuonana.
 
Three adjacent plots located in the beautiful prime location of Ununio beach in Kunduchi area about 500m from the sandy beach, are up for sale.

Plot one is measuring 1748 Square metres

Plot two is measuring 1772 Square metres

Plot three is measuring 2770 Square metres

These are corner plots located between a old Bagamoyo road to Boko Inn which are about to be constructed at tarmac level soon.

The Plots are very ideal for developing apartments units for sale or subdividing and resell as plots.

You must see these plots with all the documents in place and they are free from any encumbraces.

The three plots are sold altogether at Tshs 200Million subject to negotiation.

Cheap as Chips
 
Ndiyo maana Bluray anatafuta Kibaha Mkuranga na Kigilagila kumbe.

Ndiyo maana John Mashaka kaandika ule mu article mrefu baada ya kuona kazi hii.

Viwanja utasema umo ndani ya Beltway, waterfront ya The Hudson au by some Tokyo-Yokohama highway. Kumbe uko nje ya Dar ambako hata lami hakuna?

Sasa nikisema nataka kiwanja/ nyumba Morogoro Stores je?

Doh, nimechoka na kuchoka.
 
You are damn right.
 
Unajua nimekuwa nikitafakari sana matatizo yetu ktk jamii kwa nini ni mengi kiasi hiki?? Lakini nimekuja kubaini it all start with ANARCHY. Wapo walosema taifa lipo njia panda, lakini mimi nasema taifa lipo kwenye near anarchy au full anarchy. Ndo maana unakutana mambo ya ajabuajabu, unregulated sectors, ujambazi and everything is going into the dogs.

Chukulia ishu ya viwanja. Hivi ni nchi gani duniani inayeweza kupanga maendeleo yake bila kupanga miji yake ktk utaratibu wa kueleweka?? Jiji kama la Dar, lina mamtatizo makubwa ya miundombinu kutokana na mipangomiji mibovu inayosababisha mkanganyiko pale ukarabati au renovation inapotakiwa kufanyika kwa miundimbinu ya kama maji au umeme etc.

Unaweza jiuliza kwanini suala la upimaji viwanja sio endelevu?? Mathalan kwa kila halmashauri?? Kwanini lisipatiwe ruzuku kwa sababu tunajua matumizi mazuri ya ardhi yanategemea mipango bora ya mipangomiji?? Nchi nyingi duniani baada ya kujua ujenzi wa nyumba ni gharama sana, zilkiamua kuweka funds na projects makazi nafuu, mikopo ya nyumba and the likes. Serikali yetu kwanini hailioni hili?? Au mpaka aseme mzungu ndio tuone ni la maana.

Pia let alone mipangomiji ya hovyo, kuna suala la umeme na maji. Umeme kwamba capacity iliopo haitoshi pamoja na kwamba inahudumia less than 15% tu ya Tz. Sasa huwezi ukapanga kuendeleza nchi wakati huna umeme wa kuaminika. Ishu ya maji ni vilevile.

Sasa mniambie kama hii sio anarchy. Una-apply system ambayo sio sustainable na ipo -bound kufeli.
 
Ndiyo maana Bluray anatafuta Kibaha Mkuranga na Kigilagila kumbe.

Ndiyo maana John Mashaka kaandika ule mu article mrefu baada ya kuona kazi hii.

Viwanja utasema umo ndani ya Beltway, waterfront ya The Hudson au by some Tokyo-Yokohama highway. Kumbe uko nje ya Dar ambako hata lami hakuna?

Sasa nikisema nataka kiwanja/ nyumba Morogoro Stores je?

Doh, nimechoka na kuchoka.

Unfortunately its the power of the market,when the market falls prices will go down.

Nilipata kununua kiwanja kwa tshs 750,000 mwaka 2005 na mwaka jana akaja mtu (bila mimi kukitangaza kuuza) akatoa offer ya tshs 10m
 
Mie huwa nasema kama mtu una pesa ya hivyo kwa nini usinunue nyumba US au UK au Europe or hata Far East ukaishi kwa raha ...umeme, maji bwelele,security ya uhakika ,barabara world class!!! Eti mtu ukanunue kiwanja tuu UNUNIO?????kichwa kinauma!!!
 
Nyumbani ni nyumbani mkuu!
 
Unfortunately its the power of the market,when the market falls prices will go down.

Nilipata kununua kiwanja kwa tshs 750,000 mwaka 2005 na mwaka jana akaja mtu (bila mimi kukitangaza kuuza) akatoa offer ya tshs 10m

agree. ww unafkiri hawajui hilo? hao washabiki tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom