Prime minister wa Thailand and Obama flirting

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Yaani wa marekani ni kiboko .madai prime minister ni next first lady nimechekaje wivu wa Michelle Obama .
 
barack Yingluck Shinawatra.jpg
Ila bibie katulia...
 
Clinton Democratic, Obama Democratic ... hawa wanalisishana katabia.
Bush eats Rice and Rice eats! kaazi kweli...
 
Habari ni za kweli amemhama na anakaa humo jumba jeupe ila vyumba tofauti, isitoshe ile nyumba yake Michelle ya Chicago anamtimua Obama na ameahidi kupata hela nyingi sana kama wata divorce
 
Huyu mama akiplus na zile hasira za SA hotatenaneeeeeeeeii Obama atakiona cha mtema kuni
 
Lkn mwanamke aki divorce toka kwa mtu mashuhuri lm obama, obama ndo kwaaanza mi oportunity inamjalia warembo wa kumwaga.halafu hizo picha wapo kiserikali, kwenye podium sasa michele wivu wa nini? Wangekuwa chumbani sawa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom