Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 59
Hili ni ombi rahisi (simple request) kwako waziri mkuu mpya wa Tanzania mheshimiwa sana Mizengo Pinda (kama unavyojulikana hapa JF kama MP).
Tafadhali sana waachie hao members wawili wa JF ambao wako chini ya ulinzi wa polisi kwa sababu zisizoeleweka. Tafadhali sana MP usianze vibaya kazi yako maana utakuwa na wakati mgumu kama ndio hivi itakuwa kati yako na wana JF.
Tafadhali tena tunakuomba sana usijaribu kunyamazisha JF na wana JF maana ni wengi sana na wengi wao wana uchungu sana na nchi yao kwa hiyo hawawezi kunyamazishwa kwa vitisho wala maguvu.
Kumbuka kuwa JF itakuwepo hapa hata kama serikali yako ikikamata nusu ya membaz wake. Kumbuka kuwa ukifunga JF basi wana JF wote watakusanyika pengine na kuendelea na mapambano.
Tafadhali sana MP fanya kitu kizuri (the right thing) hapa ili kuanza vizuri kazi yako hii.
Asante!