Primary Hard Disk Drive 1 Not Found

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Hi JF Team

Niko Na Precisio Dell 650 Series...ambayo ina hard disk mbili moja na 150GB(SATA) na ingine 350GB(SATA).

Ilifanyiwa format last year...toka hapo baada ya ku load OS upa sasa kila inapo washwa inakuna na black screen baada ya Setup etc...ikiwa na Ujumbe huu.

DELL SYSTEM PRECISION WORKSTATION 650 Series.
Primary Hard Disk Drive 1 not found.
LSI Logic Corp.MPT is BIOS
LSI Logic Corp.MPT Boot ROM,No Supported Device foud.
______________________________________________________________

Na baada ya hapo inakwambia press F1 To continue.Uki press F1 inaendelea vyema mpaka una log in.Ila Disk inayo onekana ni moja tu hapo yenye 150GB.Ile Ingine 350(SATA) Haionekani...Sijaitoa na kuiweka kama slave.Au kufikiri ku format disk kwa kuwa Kuna data nyingi uko Nahitaji kuzirecover kabla ya mambo ingine kufata.

Ntashukuru kwa msaada utakao pelekea kufanikiwa hili.
 
Hujasema kama ulifanya mabadiliko yoyote kwenye Bios , manake hapo inaonyesha kuna HDD moja labda haiko on kwenye bios jaribu ukiwasha nenda kwenye setup upya kwenye hizo SATA HDD angalia hiyo ya 2 kama iko on na kama ni SATA Enabled , mara nyingi shida inakuwaga hapo ,
 
Thanks Shy...Sikufanya Mabadiliko Kwenye BIOS..Ila Nimefanya kama ulivyo shauri...ila inaonekana bado moja tu...
 
Jaribu moja moja uone kama hiyo inaweza kuonekana inawezekana jumper setting ndio tatizo. Kwa kufunga mojamoja itakuwa rahisi kujua kama inasoma au la, kwamba kila moja kwa wakati wake i act kama master then itakuwa rahisi kujua hatua zitakazofuata.
 
Moja Ndio Inakubali Ingine Ndio Inagoma...So Unaniambia OS ihamie kwenye hiyo ingine ambayo haipatikani?
 
Hi JF Team

Niko Na Precisio Dell 650 Series...ambayo ina hard disk mbili moja na 150GB(SATA) na ingine 350GB(SATA).

Ilifanyiwa format last year...toka hapo baada ya ku load OS upa sasa kila inapo washwa inakuna na black screen baada ya Setup etc...ikiwa na Ujumbe huu.

DELL SYSTEM PRECISION WORKSTATION 650 Series.
Primary Hard Disk Drive 1 not found.
LSI Logic Corp.MPT is BIOS
LSI Logic Corp.MPT Boot ROM,No Supported Device foud.
______________________________________________________________

Na baada ya hapo inakwambia press F1 To continue.Uki press F1 inaendelea vyema mpaka una log in.Ila Disk inayo onekana ni moja tu hapo yenye 150GB.Ile Ingine 350(SATA) Haionekani...Sijaitoa na kuiweka kama slave.Au kufikiri ku format disk kwa kuwa Kuna data nyingi uko Nahitaji kuzirecover kabla ya mambo ingine kufata.

Ntashukuru kwa msaada utakao pelekea kufanikiwa hili.

I see your problem could be hardware related, but i think you can do a bit of troubleshooting

First this is first, straight to the point

Connect the 350GB HDD and boot see if its been recognized by the hardware
if yes partition it install the OS ie XP WIN7 Vista etc etc

Make sure your sata cabling is properly done ( Primary HDD and Secondary HDD)

When finished switch off comp and plug in 150gb HDD

Boot System

Hope that works for you
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom