Pride wanataka kudhulumu haki za wanyonge

Mtoto wa kijiji

JF-Expert Member
Nov 4, 2017
319
184
Kwa nini pride wanatufanyia haya?

Kwa muda sasa pride hapa arusha wamekua hawatoi mikopo.kila siku tunafuatilia akiba zetu lakini ni maneno tu.leo tumeenda wamesema eti turudi baada ya miaka 3.hizi ni dharau za hali ya juu.tupo tunaelekea kwa mkuu wa mkoa mrisho gambo tujue hatma yetu.hadi kieleweke...popote alipo rais wetu mpendwa Magufuli atusaidie.nawakilisha...
 
Mkataba wenu ukoje wakati mnaingia kwenye hiyo taasisi ndogo ya kifedha?
 
Pride wameamuriwa kulipa deni la bilioni, tulia kwanza kusoma upepo unakoelekea. Ukute hadi akiba zenu wanataifisha, wengine tumezoea machozi na kufura hasira.....pole sana mkuu
 
Kwa nini pride wanatufanyia haya?
Kwa muda sasa pride hapa arusha wamekua hawatoi mikopo.kila siku tunafuatilia akiba zetu lakini ni maneno tu.leo tumeenda wamesema eti turudi baada ya miaka 3.hizi ni dharau za hali ya juu.tupo tunaelekea kwa mkuu wa mkoa mrisho gambo tujue hatma yetu.hadi kieleweke...popote alipo rais wetu mpendwa Magufuli atusaidie.nawakilisha...
Yani jamaa wanajifia taratibu, nna wana wawili hawajalipwa mwaka wa 3 Sasa, na jamaa hawaelewi itasomeka lini
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom