Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 6,961
- 13,565
Aisee mkurugenzi huko vizuri
Ni wivu tu!!!Hajapendeza hata kidogo angevaa pensi
Unamuonea wivuHajapendeza hata kidogo angevaa pensi
Hii ndio sub ya Ruge?Aisee mkurugenzi huko vizuriView attachment 1125674
Namwonea machoUnamuonea wivu
Naona unatafuta Burn!!! Huku tuna BANWatu wa mikoani mna shida... Mnapenda kujivunia kwa watu hata asiyekujua. Soon mtaanza mabishano mara Mengi, Tibaijuka, madokta wangapi..... n. k
Hongereni
Unatafuta burn au Ban?Hii ndio sub ya Ruge?
We mzaramo utajivunia nini sasa.Watu wa mikoani mna shida... Mnapenda kujivunia kwa watu hata asiyekujua. Soon mtaanza mabishano mara Mengi, Tibaijuka, madokta wangapi..... n. k
Hongereni
Watu wa mikoani mna shida... Mnapenda kujivunia kwa watu hata asiyekujua. Soon mtaanza mabishano mara Mengi, Tibaijuka, madokta wangapi..... n. k
Hongereni
Utapata lifeban!!! Au hujui mkewe ni admin?!?!Yaliyomo yamo
CEO ni wa ajabu saana!! Unaweza mtukana akakwambia asante!!!Atakaemdiss CEO anakula life ban papo kwa papo.
Da slaamWe mzaramo utajivunia nini sasa.
Labda vigodoro
Wew ni mzaramo .unajivunia nin ?Da slaam