PRESUMPTION OF INNOCENCE na mijadala yetu

Ukiua kibaka au jambazi , bado utapelekwa mahakamani kwa kosa la mauaji.
Lakini in society you will have got rid of a pest-period.
Rostam and his hench men are pests.
 
Hivi ulishawahi kusikia kitu kinachoitwa the LIST OF SHAME kilichotolewa na Dr Slaa pale Mwembeyanga?Unafahamu pia kwamba initial reaction kutoka CCM na watajwa ilikuwa ni pamoja na ku-brand list hiyo as MIPASHO!

So how TELL US how do we fight the war without labelling or singling out fisadis like ROSTAM!That sounds like searching for a black pin in a dark room while actually the pin isn't in the room!

Kwani tunapo-single out watu kama Rostam hatu-focus kwenye structure zinazozaa mafisadi?Umeshajaribu kujiuliza a virus called Rostam Aziz ameshazalisha vifisadi vidogovidogo na mafisadi wakubwa wangapi?Rostam falls into both structure and agent of ufisadi.And we have to focus on him and his army of followers.

Hivi unafahamu kuwa Takukuru in 2000 walipotangaza "shindano la utafiti" kuhusu rushwa?Na kabla ya hapo,Fisadi Mkongwe Mkapa alishaunda tume ya Warioba kisha akapuuza findings zake?Au unafahamu kuwa PhD ya Hosea ni kwenye maeneo hayohayo unayozungumzia?We dont have time for such studies (yeah,ndio tafsiri nyepesi ya unachojaribu kutuusia: tu-focus kwenye structurers,not individuals).Enough is enough,tutawatangaza hadharani pasipo uoga.Mwenye hasira aponde chupa ajimalize!

Ukombozi wa kweli uko njiani!

Nakutakieni kila la kheri, na maadam nchi ni yetu sote sina shaka matunda tutayafaidi sote.
 
Surely humu kutakuwa na wasomi kuliko DARHOTWIRE na forums zingine...hivi kwa nini tumekuwa tukilignore hili au ndio tumejikita kwenye mambo ya anti intellectualism,plitics of hate & narrow mindedness?

hivi humu ndani hatuna watu wa kuangalia haya maendeleo ya MENGI vs EVERYONE from the legal point of view?

whatever happened to presumption of innocence? hivi mahakama gani imemhukumu Rostam na aliotakwa nao au ndio ushabiki tuu?

this is so low by standards za JF so sad

Humu kuwa na wasomi may be true. Intellectualism maana yake ni kuangalia mambo kwa mapana na kwa hoja. Politics of hate zimekuja baada ya kwa wale ambao kweli walikuwa na maslahi fulani baada ya kutoswa wakaback fire lakini Je kama isingekuwa wao kutoswa baadhi ya data za ufisadi unadhani singetoka? Au wewe unaangaliaje vitu mwenzetu? Narrow mindedness based on what? Kusema fulani fisadi then ur narrow minded au kupinga kuwa mpaka kuwe na evidence ndiyo kuwa umekuwa intellectual?

Unaweza ukawa na shule lakini isikusaidie ndiyo kama hivi. Mimi sioni hapa watu wa JF LABDA WALE WALIOTAJWA KUWA KWENYE HIZO PAYROLL lakini wale wa kawaida nikamchukie RA au RM ili iweje? Mimi nawachukia kwa kuwa ni wezi thats all.

Hivi zamani hizo mtu habari zilipokuwa zinataka kuwa kuna MAFIA je wewe mfano una evidence kuwa fulani aliwekwa kwenye uongozi na MAFIA au ndiyo mpaka watu waje na tape recorder ndiyo uamini. Kuna vitu vinaitwa vya kimazingira navyo vinakubalika. Sioni kwanini unang'ang'ana na RA vs RM hao achana nao ongelea ufisadi. RM kaenda mahakamani tusubiri na RA naye aende.

AU UNAONAJE KAMA UKIMSHAURI NAYE AENDE HILI KUONDOA MZIZI WA FITINA....SIDHANI HIYO KAMA HATRED BALI NI HAKI YA MTU. Binadamu tuna tabia tukisifiwa hapa tunafurahi tukikosolewa hapa tuna chuki HUO NI UNAFIKI AMBAO HAUTATUFIKISHA POPOTE.
 
?? kwa ushahidi wa kimazingira ndio maana tunachoma vibaka moto!
Kwa ushahidi wa kimazingira ndio maana tunaua wote wanaoshukiwa wachawi kule shinyanga!
Kwa ushaidi huu huu wa kimazingira ndio utapelekea kila mtu amshuku nakumtaja mwenzake fisadi hata walio safi!

Unaonaje kwa ushahidi wa mazingira nikakuona wewe ni fisadi?
 
r-MUSLIMS-large.jpg

Interesting....
 
Back
Top Bottom